Msaada: Mbwa wangu anaumwa pavo

Msaada: Mbwa wangu anaumwa pavo

unywele

Member
Joined
May 8, 2014
Posts
51
Reaction score
20
Habari wanajamvi. Mimi nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv anaumwa na kuna daktar nimemwita amesema ni pavo...coz alianza kuwa mpole juz na jana akawa anaharisha minyoo na kutapika...then jion akaharisha kinyes kina km damu. Huyu dr.anmchoma sindano za minyoo, antibiotics na vitamin ila bado naona hali si nzur...pls kwa mwenye kujua altenativ au kwa mtu ambaye ana uzoefu kwenye hili msaada pls. Asanteni.
 
Habari wanajamvi. Mimi
nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa
nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv
anaumwa na kuna daktar nimemwita amesema ni pavo...coz alianza kuwa
mpole juz na jana akawa anaharisha minyoo na kutapika...then jion
akaharisha kinyes kina km damu. Huyu dr.anmchoma sindano za minyoo,
antibiotics na vitamin ila bado naona hali si nzur...pls kwa mwenye
kujua altenativ au kwa mtu ambaye ana uzoefu kwenye hili msaada pls.
Asanteni.

Mhamishie katika Chumba kisafi utandaze maboksi au magazeti kwenye sakafu.
Muoshe kwa Dog shampoo umfungie humo na umuogeshe mara kwa mara. Mnyweshe maji masafi au maziwa mara kwa mara kila baada ya nusu saa na kuendelea.
Mbadilishie chombo cha kumlishia kwani kina virus hao na hicho kipya ukioshe kwa maji ya moto kabla ya kumwekea chakula. Badilisha magazeti kila mara anapochafua au weka unga wa mbao na uchote kinyesi kila anapochafua na kukitupa.
Aendelee kupewa vitamins na antibiotics ila usafi ni muhimu.
 
Huyo "Daktari" ni kweli au kishoka? Fuata maelezo ya uso wa nyoka lakini inawezekana ukahitaji atundikiwe maji yenye madini mchanganyiko "electrolytes" kama atapoteza maji mengi kwa kuharisha. Hakikisha anapolala hakupoi sana kwa ajili ya majimaji kwani anaweza kufa kwa hypothermia vilevile.
 
Usishangae sana. Hata wale wenu kule umasaini wanawaathiri sana. Mbuzi na kondoo wanaugua "ormilo" kwa sababu ya minyoo ya mbwa ambao hamwapi dawa za minyoo. Halafu ubongo wa mbuzi au kondoo aliyekufa unakuwa na maji mengi na nyie mnawapa mbwa ili kukamilisha mzunguko wa minyoo hiyo!!!!

Wamasai hawana mabusha japo nao ni watu. Hii ndiyo mipangilio ya kiasili kwa viumbe wote. Wengine wana kifafa, sickle cell etc na wengine hawana.

duuuh

tuna mpwa kama 20 wa kuchungia ngombe sijawahi ona wa kitapika
HAO NI MBWA GANI wapeleke machungani​

Asanten kwa ushauri...mbwa wangu alikuwa anaitwa "chief" amefarik...leo nimetoka kazin nikapewa hyo taarifa...imeniuma sana yan. Coz Chief alishakuwa part ya familia. But natafuta mwingine. Na nimejifunza kitu na hata kwa wengine pia....kuwapa mbwa chanjo mapema iwezekanavyo...usiseme nitampa kesho kesho kutwa...huez jua ataugua lin. Huyo hapo kwenye picha ndio alikuwa Chief wangu.
 
Attachments

  • 1416249968317.jpg
    1416249968317.jpg
    40.8 KB · Views: 328
  • 1416249997643.jpg
    1416249997643.jpg
    38 KB · Views: 316
  • 1416250022792.jpg
    1416250022792.jpg
    47.6 KB · Views: 296
Mbona ni mbwa wa kawaida tu!

Kama hujui kitu sio lazima kuongea....na km ungekuwa unafahamu aina za mbwa ungekuwa umeshanielewa... by the way hakuna sehemu niliyosema mbwa wangu hakuwa wa kawaida...au kuna sehemu nilisema ana miguu sita tofaut na wengine...???? Au ndo wale wa kufos kuchangia mada hata km hauna uelewa nayo...???
 
Huo ugonjwa mbaya sana kwa Mbwa, ndio UKIMWI wao.

Huo ugonjwa mbwa akipata nafasi ya kupona ni ndogo kama sindano, kama wako atapona naomba nidokeze ulivyomponya, mie sina gistroria bado ya kumwokoa mbwa aliyekwishapata huo ugonjwa, niliishapoteza mbwa wangu wazuri wawili kwa ugonjwa huo.

Lakini muhimu sana, wape kinga mbwa wako ili wasipate huo ugonjwa.
 
Asanten kwa ushauri...mbwa wangu alikuwa anaitwa "chief" amefarik...leo nimetoka kazin nikapewa hyo taarifa...imeniuma sana yan. Coz Chief alishakuwa part ya familia. But natafuta mwingine. Na nimejifunza kitu na hata kwa wengine pia....kuwapa mbwa chanjo mapema iwezekanavyo...usiseme nitampa kesho kesho kutwa...huez jua ataugua lin. Huyo hapo kwenye picha ndio alikuwa Chief wangu.

Sorry, nilijibu hapo juu kabla sijasoma hapa...huu ugonjwa ni mbaya sana, unakata utumbo wa mbwa, kupona ni nadra sana. Komaa kaka, usikate tamaa, sie wenye hobby na mbwa uwa hatuchoki kufuga.
 
Sorry, nilijibu hapo juu kabla sijasoma hapa...huu ugonjwa ni mbaya sana, unakata utumbo wa mbwa, kupona ni nadra sana. Komaa kaka, usikate tamaa, sie wenye hobby na mbwa uwa hatuchoki kufuga.

Yap naungana na ww kaka...hata yule dr. Alisema kuwa huu ni ugonjwa mbaya sana..alaf kuna mtu juu aliniuliza km niliyemleta amtibu alikuwa ni dr.kwel au kishoka...huyu ni dr.wa wanyama aliyesomea kabisa na amefanya kaz kwa zaid ya miaka 20 na bado anafanya ...km ww ni mkaz wa maeneo ya Sinza Mugabe had Madukani nikimzungumzia Mbawala utakuwa sio mgeni nae. Then ni kwel kaka hata mm sitachoka kuwafuga na nimeshaoda mwingine. But chanjo ya pavo sitakaa niisahau wala niipuuze maisha yangu yote.
 
Duh pole sana unywele mara nyingi akishafikia stage hiyo ya kutapika kupona ni bahat sana sana. Mm wangu alipata lakin hakufikia stage ya kutapika alikuwa anaharisha kinyes chenye damu.
 
Duh pole sana unywele mara nyingi akishafikia stage hiyo ya kutapika kupona ni bahat sana sana. Mm wangu alipata lakin hakufikia stage ya kutapika alikuwa anaharisha kinyes chenye damu.

Aisee...so wako alipona...? Chanjo ya pavo ni muhimu sana yan. I wish km ningekuwa nimemchoma chief wangu. But all in all ameniachia funzo kubwa tu
 
Sasa Mkuu Mbwa Aina Hyo mbona Wako Wengi Kitaa hapoa?
Ilikuwa Haina Haja Ya Kumuagiza Toka Ujeruman
Umeharibu Pesa Yako Bure Mkuu
 
Habari wanajamvi. Mimi nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv anaumwa na kuna daktar nimemwita amesema ni pavo...coz alianza kuwa mpole juz na jana akawa anaharisha minyoo na kutapika...then jion akaharisha kinyes kina km damu. Huyu dr.anmchoma sindano za minyoo, antibiotics na vitamin ila bado naona hali si nzur...pls kwa mwenye kujua altenativ au kwa mtu ambaye ana uzoefu kwenye hili msaada pls. Asanteni.

Ebana kwa mbwa wa kawaida yani wakiswazi wanaweza kupata huo ugonjwa?
 
Back
Top Bottom