Habari wanajamvi. Mimi nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv anaumwa na kuna daktar nimemwita amesema ni pavo...coz alianza kuwa mpole juz na jana akawa anaharisha minyoo na kutapika...then jion akaharisha kinyes kina km damu. Huyu dr.anmchoma sindano za minyoo, antibiotics na vitamin ila bado naona hali si nzur...pls kwa mwenye kujua altenativ au kwa mtu ambaye ana uzoefu kwenye hili msaada pls. Asanteni.