time theory
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 766
- 637
Sasa Mkuu Mbwa Aina Hyo mbona Wako Wengi Kitaa hapoa?
Ilikuwa Haina Haja Ya Kumuagiza Toka Ujeruman
Umeharibu Pesa Yako Bure Mkuu
Kwanza pole,lakini pili hongera maana umejifunza.
Niungane na wachangiajo wengine kumtilia shaka dkt wako maana si kawaida kwa mtaalam afanye chanjo ya minyoo alafu asifanye ya pavo,hiyo ndio muhimu kuliko zote na huwa wanachanja na minyoo kwa pamoja.
Pia usikasirike lakini,mbwa wako hakuwa pure shepherd,next time tafuta kuwa makini na watakaokuuzia.
Hii ndiyo bongo,huyu anahangaika na mbwa,wengine tezi dume.
pole sana mkuu, inabidi wafuga mbwa tuanzishe mtandao wa kupeana ushauri
Mbwa wangu amesikitika kwa kifo cha CHIEF
Tupe way foward mkuu...
pole sana mkuu, inabidi wafuga mbwa tuanzishe mtandao wa kupeana ushauri
Mbwa wangu amesikitika kwa kifo cha CHIEF
wakuu, baada ya kifo cha chief wa ndugu unywele, nimeona ni vema wafuga mbwa tuwe na forum ya kubadilishana uzoefu kuhusu mbwa,so nimefungua group inaitwa DOG Whispers, karibuni mjoin group hii tupeane uzoefu na mambo mengine
C.C Uso wa nyoka, MWEEN, Masonjo, mbugila, time theory, kasaloo, Mkulima wa Kuku, Mshawa
Kaka pole najua uchungu wa mbwa aisee mimi ninae mmoja anamiezi miwili kasoro ameanza kupoteza raha juzi leo amekula kidogo ametapika naomba nishauri nifanyejeAsanten kwa ushauri...mbwa wangu alikuwa anaitwa "chief" amefarik...leo nimetoka kazin nikapewa hyo taarifa...imeniuma sana yan. Coz Chief alishakuwa part ya familia. But natafuta mwingine. Na nimejifunza kitu na hata kwa wengine pia....kuwapa mbwa chanjo mapema iwezekanavyo...usiseme nitampa kesho kesho kutwa...huez jua ataugua lin. Huyo hapo kwenye picha ndio alikuwa Chief wangu.
Kinga apewe akifikisha miezi mingapi ndugu? Wangu amekua mpole tangu jana usiku na ameanza kutapika leo ana miezi miwil kasoroHuo ugonjwa mbaya sana kwa Mbwa, ndio UKIMWI wao.
Huo ugonjwa mbwa akipata nafasi ya kupona ni ndogo kama sindano, kama wako atapona naomba nidokeze ulivyomponya, mie sina gistroria bado ya kumwokoa mbwa aliyekwishapata huo ugonjwa, niliishapoteza mbwa wangu wazuri wawili kwa ugonjwa huo.
Lakini muhimu sana, wape kinga mbwa wako ili wasipate huo ugonjwa.