Msaada: Mbwa wangu anaumwa pavo

Msaada: Mbwa wangu anaumwa pavo

Kwanza pole,lakini pili hongera maana umejifunza.

Niungane na wachangiajo wengine kumtilia shaka dkt wako maana si kawaida kwa mtaalam afanye chanjo ya minyoo alafu asifanye ya pavo,hiyo ndio muhimu kuliko zote na huwa wanachanja na minyoo kwa pamoja.

Pia usikasirike lakini,mbwa wako hakuwa pure shepherd,next time tafuta kuwa makini na watakaokuuzia.
 
Sasa Mkuu Mbwa Aina Hyo mbona Wako Wengi Kitaa hapoa?
Ilikuwa Haina Haja Ya Kumuagiza Toka Ujeruman
Umeharibu Pesa Yako Bure Mkuu

Mmmh kazi ipo!!... Nan kasema kaagiza kutoka Ujeruman...??
 
Kwanza pole,lakini pili hongera maana umejifunza.

Niungane na wachangiajo wengine kumtilia shaka dkt wako maana si kawaida kwa mtaalam afanye chanjo ya minyoo alafu asifanye ya pavo,hiyo ndio muhimu kuliko zote na huwa wanachanja na minyoo kwa pamoja.

Pia usikasirike lakini,mbwa wako hakuwa pure shepherd,next time tafuta kuwa makini na watakaokuuzia.

Cop that
 
Kuna jamaa hapa anachanganya madawa. Huyu mbwa amesemekana aina yake ni German Shepherd na siyo kuwa amemnunua Ujerumani...Hebu soma vizuri kwenye mistari. Mimi natafuta Pure German Shepherd ila siyo kwa bei ya kifisadi. Kama mmoja wetu anajua nnapoweza kupata anaweza kunisaidia
 
pole sana mkuu, inabidi wafuga mbwa tuanzishe mtandao wa kupeana ushauri



Mbwa wangu amesikitika kwa kifo cha CHIEF
 

Attachments

  • WP_20141103_010.jpg
    WP_20141103_010.jpg
    249.5 KB · Views: 151
Wazo jema... mbwa ni mnyama adilifu sana hasa akitunzwa na kufunzwa vyema, ni mlinzi makini na asiye chakachulika kirahisi akishafunzwa, ni mnyama wa burudani kwa wale wapenda mbwa (pet) mbwa pia anaweza kutabiri baadhi ya majanga (threats) ikiwa upo nae karibu kimahusiano (i.e kumjali) na mengine mengi mwenye kumbukumbu atujuze.
 
wakuu, baada ya kifo cha chief wa ndugu unywele, nimeona ni vema wafuga mbwa tuwe na forum ya kubadilishana uzoefu kuhusu mbwa,so nimefungua group inaitwa DOG Whispers, karibuni mjoin group hii tupeane uzoefu na mambo mengine

C.C Uso wa nyoka, MWEEN, Masonjo, mbugila, time theory, kasaloo, Mkulima wa Kuku, Mshawa

Safi sana...Nimeipenda..naamin tutashauriana vingi na sote tutaenjoy na mbwa wetu...japo sijajua nawezaje kuliaccess hilo group....naomba unielekeze namna ya kujoin na kuchangia kene hilo group. Asante.
 
Asanten kwa ushauri...mbwa wangu alikuwa anaitwa "chief" amefarik...leo nimetoka kazin nikapewa hyo taarifa...imeniuma sana yan. Coz Chief alishakuwa part ya familia. But natafuta mwingine. Na nimejifunza kitu na hata kwa wengine pia....kuwapa mbwa chanjo mapema iwezekanavyo...usiseme nitampa kesho kesho kutwa...huez jua ataugua lin. Huyo hapo kwenye picha ndio alikuwa Chief wangu.
Kaka pole najua uchungu wa mbwa aisee mimi ninae mmoja anamiezi miwili kasoro ameanza kupoteza raha juzi leo amekula kidogo ametapika naomba nishauri nifanyeje
 
Huo ugonjwa mbaya sana kwa Mbwa, ndio UKIMWI wao.

Huo ugonjwa mbwa akipata nafasi ya kupona ni ndogo kama sindano, kama wako atapona naomba nidokeze ulivyomponya, mie sina gistroria bado ya kumwokoa mbwa aliyekwishapata huo ugonjwa, niliishapoteza mbwa wangu wazuri wawili kwa ugonjwa huo.

Lakini muhimu sana, wape kinga mbwa wako ili wasipate huo ugonjwa.
Kinga apewe akifikisha miezi mingapi ndugu? Wangu amekua mpole tangu jana usiku na ameanza kutapika leo ana miezi miwil kasoro
 
Back
Top Bottom