time theory
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 766
- 637
Kwanza pole,lakini pili hongera maana umejifunza.
Niungane na wachangiajo wengine kumtilia shaka dkt wako maana si kawaida kwa mtaalam afanye chanjo ya minyoo alafu asifanye ya pavo,hiyo ndio muhimu kuliko zote na huwa wanachanja na minyoo kwa pamoja.
Pia usikasirike lakini,mbwa wako hakuwa pure shepherd,next time tafuta kuwa makini na watakaokuuzia.