MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

Sawa mkuu, kiufupi wana faida wakiwa wengi hivyo, kuna wakati mwenza wangu alikuwa nao kuku 1400 wanaotaga, kwa siku alikuwa anakusanya mayai trei 36 hadi 37. yaani kasalary kangu nakasotea mwezi mzima lakini nilikuwa sigusi kwake.
Mkuu gharama za uendeshaji ukitoa hapo kwenye mauzo alikuwa anabakiwa na sh ngp
 
Sio mchezo chief huu mradi nitaufanya pembeni ya ng'ombe wa maziwa.
Ila hapo hakuweka gharama za uwekezaji (Mabanda, drinkers, feeders, wiring, n.k). Angemaintain kwa angalau miaka mitatu ingemlipa sana. Sasa mwaka juzi mahindi yalivyofika 23K kwa debe, biashara ilicolapse. Amebaki na mabanda anayaangalia tu.
 
Mkuu mimi binafsi kwenye mradi wowote wa ufugaji kama huu ili nisipate stress huwa na omit fixed structures expenses sababu the land is mine, all the constructed premises is mine so huwa sitaki ku include costs sababu sitaki kuumiza sana kichwa. I assume hata mradi ukicollapse bado ntabakiwa na Majengo yangu.
 
Ila hapo hakuweka gharama za uwekezaji (Mabanda, drinkers, feeders, wiring, n.k). Angemaintain kwa angalau miaka mitatu ingemlipa sana. Sasa mwaka juzi mahindi yalivyofika 23K kwa debe, biashara ilicolapse. Amebaki na mabanda anayaangalia tu.
Kwanini ili colapse..?
Mimi wiki ijayo naenda kupokea vifaranga 500 vya silver land, nianze kupambana. Kuku wangu wamezeeka tayari ndo wanamalizia kutaga.
 
Mahindi yalipanda sana bei, almost mara 3 zaidi ya bei ya awali
 
Okay, swali langu ni kwamba kupanda kwa bei ya mahindi na kufeli kwa biashara yako ya kuku vina muingiliano gani hapo..? Au pumba zilianza kuwa za shida..?
 
Takribani 40 to 45% ya bei ya chakula cha kuku ni mahindi, mahindi yakipanda na pumba zinapanda. Utabaki unafanya biashara ya hasara. Huku mikoani wafuagji wengi tunanunua ingredients zote unapeleka mashineni unatengenezewa chakula, tunachonunua kwa wazalishaji huwa ni starter peke yake
 
Mkuu naomba kujua huko mkoani kwenu mnatumia chakula gani kupata protein kwa wingi? Ni soya, alizeti au dagaa?

Kama mnaandaa wenyewe chakula basi ulipaswa kuweka stock kubwa ya mahindi kipindi yalipokuwa na bei rahisi
 
Tunatumia alizeti na dagaa, changamoto ya kuweka chakula kingi ni huo mtaji wa kuwa nao mara moja, ila pia hatukutegemea mahindi kupanda bei kwa kiasi hicho (X3 hadi X4). Kiufupi mashine za kuandaa vyakula zipo ila sisi tunanunua ingredients za muhimu kama mahindi, pumba na alizeti, hizo zingine unanunulia mashineni tu.
Huku alizeti ni nyingi sana, dagaa pia wanapatikana kwa bei ya soko, soya hatutumii kabisa.
 
Kwanini ili colapse..?
Mimi wiki ijayo naenda kupokea vifaranga 500 vya silver land, nianze kupambana. Kuku wangu wamezeeka tayari ndo wanamalizia kutaga.
Bei ya kifaranga wa layers kutoka Silverland ni kiasi gani mkuu?
 
Inashauriwa hili uweze kuepuka kuuziwa majogoo wengi basi ni Sema ukinunua vifaranga wa mwezi mmoja, je hawa silverland wanauza vifaranga wa mwezi mmoja? Kama wanauza bei yake ikoje?
 
Haha, ukinunua layers huwezi kupewa majogoo. Chotara ndo kuna uwezekano wa kupata majogoo. Silverland wako vizuri na sizani kama vifaranga vya mwezi mmoja wanavyo.
 
Basi niliingizwa chaka
 
Back
Top Bottom