MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

Nami nipo mbeya mkuu ndio maana nilitaka kujua logistics za upatikanaji wa Hao vifaranga kutoka silverland ulifanyaje kuwapata
Wana mawakala almost kila kituo, anzia Uyole njia panda, Nane Nane, Ilomba , Soweto, Mwanjelwa na kuendelea hadi huko Mbalizi, inategemea uko eneo gani.
 
Wana mawakala almost kila kituo, anzia Uyole njia panda, Nane Nane, Ilomba , Soweto, Mwanjelwa na kuendelea hadi huko Mbalizi, inategemea uko eneo gani.
Safi chief thanks for the useful info ntawacheki mawakala
 
Ila hapo hakuweka gharama za uwekezaji (Mabanda, drinkers, feeders, wiring, n.k). Angemaintain kwa angalau miaka mitatu ingemlipa sana. Sasa mwaka juzi mahindi yalivyofika 23K kwa debe, biashara ilicolapse. Amebaki na mabanda anayaangalia tu.
Kuna vitu kwenye mradi vinahesabika kama fixed asset
 
Tunatumia alizeti na dagaa, changamoto ya kuweka chakula kingi ni huo mtaji wa kuwa nao mara moja, ila pia hatukutegemea mahindi kupanda bei kwa kiasi hicho (X3 hadi X4). Kiufupi mashine za kuandaa vyakula zipo ila sisi tunanunua ingredients za muhimu kama mahindi, pumba na alizeti, hizo zingine unanunulia mashineni tu.
Huku alizeti ni nyingi sana, dagaa pia wanapatikana kwa bei ya soko, soya hatutumii kabisa.
Kuhusu typhoid mnawapa chanjo kuku au OTC inakuwepo ya kutosha?
 
Poultry business in tropical doesn't work like that comrade. Ndo maana kama umepitia huko Kuna vitu vinaigwa annual and season premises maintenance practice
 
Asant mwez wa 2 nategemea kuanzisha mradi wng wa kuku wa mayai natak nianze na kuku 1000
Vifaranga Vya Kuku Wa Mayai (Layers) Bovan Brown/Kuku Wa Mayai

Kifaranga wa siku 1

SIFA ZA HAWA KUKU (BOVANS BROWN)
✓Wanakuwa vizuri sana
✓Wanataga wakishafika miezi 5 toka akiwa kifaranga.
✓Wanastahimili magonjwa.
✓Utagaji wao asilimia 95
✓Wanataga mayai 250-300 kwa mwaka.
✓Wanakaa miaka 2 ukiwatunza vizuri.

BEI YAKE NI 1,500TZS TU UNAPATA KITU KILICHO BORA.

Call/WhatsApp: +255 679 003 511
 
Vifaranga Vya Kuku Wa Mayai (Layers) Bovan Brown/Kuku Wa Mayai

Kifaranga wa siku 1

SIFA ZA HAWA KUKU (BOVANS BROWN)
✓Wanakuwa vizuri sana
✓Wanataga wakishafika miezi 5 toka akiwa kifaranga.
✓Wanastahimili magonjwa.
✓Utagaji wao asilimia 95
✓Wanataga mayai 250-300 kwa mwaka.
✓Wanakaa miaka 2 ukiwatunza vizuri.

BEI YAKE NI 1,500TZS TU UNAPATA KITU KILICHO BORA.

Call/WhatsApp: +255 679 003 511
Shukran
 
Habar wadau
Nahitaji kujua ni kiasi gani cha hela nitatumia kama gharama za kuwalea na kuwatunza vifaranga 1000 wa kuku wa mayai mpaka kufikia hatua ya kutaga mayai.
[/QUOT
Kuna mzungu mmoja aliwahi niambia show me what you have, I will show you the way .Trust kila mtu aliyefanikiwa alianzia chini akikua na kuelewa kila njia mafanikio lazima upite katika moto Ili angare .
 
Back
Top Bottom