Msaada: Mchanganuo wa gharama za kujenga poles/nguzo na slab ya juu chumba cha 2.5m*2.8m size

Asante sana mkuu, however;
1: Siyo chumba kwa ajili ya kulala, juu ni kupumzika na chini ni store. Slab ya juu kabisa ni tank la maji.

2: Ushauri mwingine wote unazingatiwa mkuu.

Bless!
Kwa hiyo mkuu hiyo slab itakuwa inatofautisha, sasa father house anapumzika na sasa analala?
 
Ukilala sababu unakua nusu hujielewi basi uzito unaongezeka. Ila ukiwa macho sababu akili inafanya kazi basi uzito ni mdogo Emmanuel Okwi, Haruna Moshi Boban & Felix Sunzu.
Mkuu je nikiweka slab ya 43msq, gharama ya slab ni kiasi gani na itahitaji column ngapi. Kule juu ni suite master bedroom ya ft 18X14.5 na capony
 
No=((2.8÷0.15+1)×2.5+(2.5÷0.15
+1)×2.8)×1.5÷12

Assumption made
Spacing 150mm B&T

Kwenye slab pekee zitahitajika nondo pc 12, kufanya mahesabu ya jengo lote hiyo inakuwa ni biashara tena sio msaada na inabidi uwe na structural drawings
 
Asante mkuu. Upande wa nondo je
No=((18÷0.5+1)×14.5+(14.5÷0.5
+1)×18)×1.5÷40
Nondo pc 40 kwa spacing ya 150mm
Nondo pc 30 kwa spacing ya 200mm
Nafanya assumption ya spacing kwa sababu sijui michoro inasemaje, kiufupi michoro ya nondo huwa inatoa details ambazo inakuwa rahisi mtu kufanya makadirio ya vifaa vinavyohitajika
 
Mkuu hadi huku upo vizuri nilijua Ni kweny Excel tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…