Msaada:Meno yangu hayajaota katika mpangilio unaotakiwa

longi mapexa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
3,265
Reaction score
4,250
Salamu kwenu wanafamilia ya JamiiForums...

Natumaini mna uzima tele....kama hivyo ndivyo basi tabasamu kama ishara ya upendo na furaha yako.

Dhumuni la kuandika uzi huu ni hitaji nililonalo juu ya tatizo linalonikabili.

TATIZO LENYEWE:
Meno yangu hayajaota katika mpangilio unaotakiwa (nje ya nafasi)
inapelekea baadhi ya matatizo kwangu

a:Nashindwa kutafuna vizuri
b;Usafishwaji mgumu wa meno
c;tabasamu lisilo na mvuto
d;matatizo ya kisaikolojia
e;Nashindwa kuzungumza vizuri

HITAJI;
JE! Ni wapi naweza kupata matibabu ya gharama nafuu(natoka katika familia duni)

njia gani nitumie ili kufanikisha matibabu

Pia CHOCHOTE UNACHOWEZA KUNISAIDIA ili kupata matibabu

Akhsanteni!
 
Picha tafadhali
 
Naomba pia kufahamu umri wa kuanza kuota meno kwa watoto.

Asante.
 
Nenda kwa cosmetic dentist.

Buckteeth are very fixable.
 
Yakwako mbona afadhali yangu watoto wadogo wakiyaona wanapiga mayowe
 
Salamu kwenu wanafamilia ya JamiiForums...

Natumaini mna uzima tele....kama hivyo ndivyo basi tabasamu kama ishara ya upendo na furaha yako.

Dhumuni la kuandika uzi huu ni hitaji nililonalo juu ya tatizo linalonikabili.

TATIZO LENYEWE:
Meno yangu hayajaota katika mpangilio unaotakiwa (nje ya nafasi)
inapelekea baadhi ya matatizo kwangu

a:Nashindwa kutafuna vizuri
b;Usafishwaji mgumu wa meno
c;tabasamu lisilo na mvuto
d;matatizo ya kisaikolojia
e;Nashindwa kuzungumza vizuri

HITAJI;
JE! Ni wapi naweza kupata matibabu ya gharama nafuu(natoka katika familia duni)

njia gani nitumie ili kufanikisha matibabu

Pia CHOCHOTE UNACHOWEZA KUNISAIDIA ili kupata matibabu

Akhsanteni!
pole Sana Mchuga mwenzangu
 
Labda nikushauri tuu nenda hospital huenda yakashonwa kwa wire ukabaki nazo huko mdomoni kwa miezi kadhaa kadri siku zinavyokwenda yananyooka yenyewe
 
Yakwako mbona afadhali yangu watoto wadogo wakiyaona wanapiga mayowe
asee nimekimbia debate .....presentations ....morning speech kwa sababu watu hunicheka sana sina raha kwa kweli
 
Back
Top Bottom