Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 979
- 277
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,
Hivi huo mkopo unataka kwa ajili nini ikiwa chuo umepewa boom ama umeghairi kusoma?
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.
Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.
waone bayport mkopo wao ni nafuu sana
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,
Within 55 minutes almost ni 1hr baada ya kujiunga na kukamilisha taratibu zao
Dada hii habari ni ya kweli??
Mbona kama hainiingii akilini kama ni kweli ni rahisi kihivyo
Hao ni matapeli.
Hakuna kitu kama hicho duniani.
Itakula kwako sasahivi.....