Msaada:Mi mwalimu Nataka mkopo

Msaada:Mi mwalimu Nataka mkopo

Larusai Mux

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
979
Reaction score
277
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,
 
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,

Ingekua vizuri uende NMB watakupa majibu sahihi mkuu.....
 
Ila kati ya Walimu ambao hawajitambui na wewe upo?Miaka miwili hujui mikopo inapatkanaje si Uende benk husika ukaulizie WOGA NI UMASKIN WAKO
 
Nmb kuna fomu za mikopo wanatoa ila ziko deep, kuisoma urudie zaidi ya Mara 2 la sivyo unaingie mkenge nashauri tembelea bank zote ufanye utafiti ndiposa ukope
 
Hivi huo mkopo unataka kwa ajili nini ikiwa chuo umepewa boom ama umeghairi kusoma?
 
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,

Walimu kwenye mikopo hamjambo. Tena huko huko NMB.
 
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.

Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.

Mkuu inachukua muda gani toka kujiunga hadi kupata mkopo?
 
NMB wanasema mkopo wao unatoka masaa 48 baada ya kuwa umekamilisha taratibu zao. (kujaza fomu na kuzisainisha kwa mwajiri wako). Riba yao ni 16% (ndogo kuliko benki nyingi). Ili makato yawe kidogo inabidi uchukue mkopo mdogo na urejeshe kwa miaka mingi (mfano, milioni urudishe ndani ya miaka mitano). Ukichukua sh. milioni 10 makato ni kama 244,000 hivi kwa mwezi. Kwa hiyo makato ya 5 itakuwa kama nusu ya hiyo. Kwa milioni 10 ukiurudisha kwa miaka mitano unarudisha na riba ya about 4 mil, yaani kwa ujumla unarudisha 14 mil. Hope nimekusaidia.
 
Asalaam wakuu,,mimi ni mwalimu niko tabora vijijini ,nataka kupata mkopo ,itakua nmb sababu ndo akaunti ninayotumia kazini,,process ni zipi na itachukua muda gani?,,,

Utauziwa mpaka mkeo Mwalimu ukichukua mikopo ya mfis
 
Ndugu CRDB ndo bank poa kwasasa...bnafsi nimelamba mkopo huko wako poa sana,wanatoa amount kubwa compared na NMB,pia hawazngui zngui na gharama yakushughulikia mkopo ni ndogo tofauti na NMB....
 
Hao ni matapeli.
Hakuna kitu kama hicho duniani.
Itakula kwako sasahivi.....

Asante sana kwa kunijuza nilikuwa siiamini hii kitu, ila naomba info kamili je ni wezi wa mtandaoni???
 
Back
Top Bottom