Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

Mayunga ni mwanamke?? Au umesahau ku switch ID yako nyingine?? Wasukuma hatuna Mayunga mwanamke,labda kama ungekua Ng'hwana Mayunga
😂😂😂 alisahau
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Una cash kiasi gani benki?
Ndugu zako wanaishi maisha gani?wanao wanasoma shule gani?
Umesaidia wangapi kimaisha?
Kama yote huna!!?harafu unawaza kusuguliwa!! Basi wewe ni "stain in humanity"doa katika ulimwengu!!
Mijitu myeusi mnamatatizo gani?
 
...mpe nyuma...utapenda...au nicheck DM... naweza kukupa penzi la ajabu utasahau yote ya nyuma...
 
Kukojoi kwa kuwa unayefanya nae humpendi kiundai sana na hisia zako hazimtegemei yeye. Ndio mana akisafiri unafurahi sana!
 
Mayunga ni mwanamke?? Au umesahau ku switch ID yako nyingine?? Wasukuma hatuna Mayunga mwanamke,labda kama ungekua Ng'hwana Mayunga

Mayumga ni Jina la kisukuma Linalo manisha Mzurulaji au Mtembezi jina hili linaweza tumika kwa mke au mume endapo ni jina la ukoo sio tatizo kama unavyoona Gwajima, Kairuki, Tibaijuka na majina mengine mengi tu wanaotumia koo zao, binafsi nawajua kina mayunga wengi tu wa kike! lazima hilo litakuwa ni jina la ukoo wake.
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Sasa tukikushauri utest kwa mtu mwingine tutakuwa tumekufundisha tabia mbaya au??

Lakini kwenye hili hata wewe mwenyewe nae una matatizo, yani mtu unajijua una low libido afu unaenda kuangalia wachina🤣🤣🤣 ina maana hao wachina ndio unawaona wakali ama??
Wakati wa kufanya mapenzi na huyo partner jitahidi kuwa pale, maswala ya kuwaza Vicoba, sijui madeni huo sio wakati wake. Pia hakikisha unashirikiana nae hatua kwa hatua, mwambie wapi panakusisimua, akifanyaje unasikia raha sababu inaonekana mumeo nae hana maajabu kabisa,

Swali la kizushi tu, hivi ulikubali vipi kuolewa na mwanaume ambae hakufurahishi kabisa?? Sasa mfano hapo upate mchepuko fundi hiyo ndoa kweli itaendelea kuwepo??
 
Damn ten fuckin years!!!!!!!!!!?????????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Humfeel mumeo orelse hajui kukuandaa vizuri!!!
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Mda wote JF niliwaza we mwanaume kumbe mwanamke
 
Mh labda utakua na tatizo la kiafya,nenda hospital.
 
Aache kusikilizia sana kama vile mkunaji atataja kituo chake ajue amefika.

Anatakiwa aenjoy safari aache mambo yatajipa sio kujibana bana na mawazo.
Aaaah....! Ndio inavyokuwa?. Halafu?
 
Vitu vingine ni uongo jamani ten years seriously!
Either hajui anafika kilele au ana matatizo ya kiafya huyu au anatuchora kunogesha uzi.
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Unahitaji huduma ya kuwekwa sawa afya yako ya akili
 
Back
Top Bottom