Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

Unaweza kulea kijana ili aweanakufkishe kileleni huko utakutana vitu vizuri. Hili jambo linawezekana kama upo tayari toa connection

Mama mwenye familia kweny ajishushe hivo
 
Nilifikiri Mayunga ni mwanaume tena msukuma ila kwakua tunatumia id feki siwezi judge sana ila uchaguzi wako wa jina kuna mwanga unatugea.

Bado sijawahi kukutana na wanandoa ambao hawajawahi kua na moments tamu za ndoa. Kipindi chote nilichokua field ndoa ambazo watu tendo wanaanza kuona halifai zilikua zenye muda kuanzia miaka mitatu.

Na hata hawa mwaka mmoja au miwili inakua kipindi cha kuenjoy maisha pia na kwenye uchumba hua inakua kipindi cha kufanya tendo in a sensational mood, spark, lust and love is all there.

So unanifanya nifikirie mara mbili unavyosema haujawahi hata mara moja.

Hapa sasa ndiyo tunakuja kwenye uchaguzi wako wa jina.

Naweza nikawa sahihi au nisiwe sahihi so nivumilie:
  • Haujalelewa na baba.
  • Ulistruggle kuadopt bila father figure.
  • Ukajitengenezea imaginary being ambaye ndiye Mayunga.
  • Utotoni uliexperience sexual abuse.
  • Ili kumask hiyo experience imekufanya uishi kama mwanaume.
  • Eventually ukajihesabia wewe ni Mayunga.
  • Usichana ukaja hit you hard ukajikuta upo torn kati ya kua mwanamke au mwanaume.
  • Ukaamua kua wakike kuendana na matarajio ya jamii ila deep bado una mgogoro.
  • Hujalet go abuse uliyopitia.

Anyway, as I said naweza kua sahihi au nisiwe sahihi kama nipo sahihi fanyia kazi ishu husika. Ngono ni swala la hisia zaidi kabla mwili haujahusishwa.

Dah nilikosea sana kutoandika ni mtu anaomba ushauri
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Sasa nitashauri kwa maneno matupu bila vitendo ? Njoo pm tuyajenge
 
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.

Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli

Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang

Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Sasa kaka mayunga wewe unatumia mlango wa nyuma unategemea utoke ute na ukojozwe kweli?
 
Back
Top Bottom