Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #81
Ni dalili moja wapo ya kuwa na Jini mahaba.
Are you sure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dalili moja wapo ya kuwa na Jini mahaba.
Hapo pa kuangalia za wachina ndo umebugi dada.
Hebu angalia za kwetu uone.
[emoji1][emoji1][emoji1] Kwamba Mayunga Ni mwanamke na popobawa ana kazi nae maalum mkuu?
Ni mgonjwa wewe.
Nenda hospital huenda utapona
Mayunga ni mwanamke kumbe
Unaweza kulea kijana ili aweanakufkishe kileleni huko utakutana vitu vizuri. Hili jambo linawezekana kama upo tayari toa connection
Hili ni janga kubwa kwa sasa!
Mme wako hajui mapenzi
Hakuna jibu lingine zaidi ya hilo
Mayunga - umeoa ama umeolewa? Toa ufafanuzi kwanza ili usaidiwe vizuri.
So umeona Mayunga analia Lia Ute hautoki mkuu?
Kwani mtoa mada wewe ni ladies and gentlemen?
Nilifikiri Mayunga ni mwanaume tena msukuma ila kwakua tunatumia id feki siwezi judge sana ila uchaguzi wako wa jina kuna mwanga unatugea.
Bado sijawahi kukutana na wanandoa ambao hawajawahi kua na moments tamu za ndoa. Kipindi chote nilichokua field ndoa ambazo watu tendo wanaanza kuona halifai zilikua zenye muda kuanzia miaka mitatu.
Na hata hawa mwaka mmoja au miwili inakua kipindi cha kuenjoy maisha pia na kwenye uchumba hua inakua kipindi cha kufanya tendo in a sensational mood, spark, lust and love is all there.
So unanifanya nifikirie mara mbili unavyosema haujawahi hata mara moja.
Hapa sasa ndiyo tunakuja kwenye uchaguzi wako wa jina.
Naweza nikawa sahihi au nisiwe sahihi so nivumilie:
- Haujalelewa na baba.
- Ulistruggle kuadopt bila father figure.
- Ukajitengenezea imaginary being ambaye ndiye Mayunga.
- Utotoni uliexperience sexual abuse.
- Ili kumask hiyo experience imekufanya uishi kama mwanaume.
- Eventually ukajihesabia wewe ni Mayunga.
- Usichana ukaja hit you hard ukajikuta upo torn kati ya kua mwanamke au mwanaume.
- Ukaamua kua wakike kuendana na matarajio ya jamii ila deep bado una mgogoro.
- Hujalet go abuse uliyopitia.
Anyway, as I said naweza kua sahihi au nisiwe sahihi kama nipo sahihi fanyia kazi ishu husika. Ngono ni swala la hisia zaidi kabla mwili haujahusishwa.
Sasa nitashauri kwa maneno matupu bila vitendo ? Njoo pm tuyajengeWapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.
Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli
Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang
Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Mkuu umebaini mwandishi ni mwanaume?Mwambie apunguze kujifanya nunda! Hii itamsaidia kisaikolojia alie lie kidogo anyumbulike ikiwezkana ang'ate shuka
Acha ungesese brother
Sasa kaka mayunga wewe unatumia mlango wa nyuma unategemea utoke ute na ukojozwe kweli?Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara moja. Nasikia stori kwa wenzangu na kuona picha kama hizo za wachina na nyingine kiufupi sifurahi tendo la ndoa nafanya tu kumridhisha mume ila roho inaniuma sana.
Simjui mwaume mwingine zaidi ya mume wangu, ute wenyewe shida yaani hata nichezewe vipi halafu nimekuwa nikilichukia tendo hilo yan siku akisema nasafiri yaani nafurahi kweli
Nimeona nishee na nyie huenda ikawa sababu ya mimi kufurahia ndoa yang
Nahitaji sana msaada wenu ktk hili.
Mkuu umebaini mwandishi ni mwanaume?
Kwani mtoa mada wewe ni ladies and gentlemen?
Njoo pm dada mayunga