Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

Msaada: Miaka 10 kwenye ndoa hajawahi kufika kileleni na kupelekea kuchukia tendo

Aiseee

Mayunga pole kwa maana kizazi cha kukurupuka kinakishambulia bila hata kusoma umeandika nini. Pole japo Inachekesha na Zena ulivyoandika wanakufuata inbox [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Asante Mkuu Dah DM imefurika ujinga mtupu watu wamedata na maisha
 
Mkuu Mayunga234 ni vigumu sana kumuamsha mtu aliyejifanya amelala..

Wadau wamesoma uzi vizuri sana,,ila walitaka tu kufokasi nje ya maada
 
Back
Top Bottom