Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 594
Habari Mkuu!Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu.
Mwenye anajua tiba naomba maelezo
Haisaidii Mkuu, watu wengi hudhani ukiwa na fangasi ndo Miguu hutoa harufu.Kunywa maji ya kutosha
Hakikisha una Soksi zaidi ya dozen moja namaanisha pea 12 na kuendelea.
Kausha miguu kabla ya kuvaa viatu.
Kila siku kabla ya kulala chukua punje nne za Kitunguu swaumu saga kilainike pitisha katikati ya vidole ulale ukiamka asbuhi osha miguu. Kama hupendi harufu ya Kitunguu swaumu paka dawa ya meno original kama colgate, paka katikati ya vidole kabla hujalala usiku.
Umetumia dawa ipi mkuuHaisaidii Mkuu, watu wengi hudhani ukiwa na fangasi ndo Miguu hutoa harufu.
Wapo watu wana fangasi na miguu haitoi harufu, wapo hawana fangasi na miguu inatoa harufu....!
Zipo Dawa za asili, na Binafsi zimeniponyesha.
Ni Dawa ya Asili Mkuu, nilinunua nilipokua nje ya nchi, nilitumia kwa siku 7, nikapona kabisa mwaka wa pili sasa.Umetumia dawa ipi mkuu