Msaada: Miguu kutoa harufu

Msaada: Miguu kutoa harufu

Kunywa maji ya kutosha
Hakikisha una Soksi zaidi ya dozen moja namaanisha pea 12 na kuendelea.
Kausha miguu kabla ya kuvaa viatu.
Kila siku kabla ya kulala chukua punje nne za Kitunguu swaumu saga kilainike pitisha katikati ya vidole ulale ukiamka asbuhi osha miguu. Kama hupendi harufu ya Kitunguu swaumu paka dawa ya meno original kama colgate, paka katikati ya vidole kabla hujalala usiku.
 
Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu.

Mwenye anajua tiba naomba maelezo
Habari Mkuu!

Ulishapata Tiba ya tatizo lako la kunuka Miguu....!

Binafsi nilikua na Tatizo kama lako, nimepona Mkuu....!

Dawa ilonisaidia nataka kuwapa wengine pia, najiandaa kufungua Thread kutoa Tangazo kwa wote wenye matatizo ya Miguu kutoa harufu.
 
Kunywa maji ya kutosha
Hakikisha una Soksi zaidi ya dozen moja namaanisha pea 12 na kuendelea.
Kausha miguu kabla ya kuvaa viatu.
Kila siku kabla ya kulala chukua punje nne za Kitunguu swaumu saga kilainike pitisha katikati ya vidole ulale ukiamka asbuhi osha miguu. Kama hupendi harufu ya Kitunguu swaumu paka dawa ya meno original kama colgate, paka katikati ya vidole kabla hujalala usiku.
Haisaidii Mkuu, watu wengi hudhani ukiwa na fangasi ndo Miguu hutoa harufu.

Wapo watu wana fangasi na miguu haitoi harufu, wapo hawana fangasi na miguu inatoa harufu....!

Zipo Dawa za asili, na Binafsi zimeniponyesha.
 
Chukua unga wa mahindi wa dona (unga wa ugali), pakaa miguu Yako yote miwili, Kisha Fanya kupakaa rangi nyeupe ya unga isionekane.

Vaa viatu vyako...

Tatizo la miguu kutoa harufu litakuwa limeisha...
 
Haisaidii Mkuu, watu wengi hudhani ukiwa na fangasi ndo Miguu hutoa harufu.

Wapo watu wana fangasi na miguu haitoi harufu, wapo hawana fangasi na miguu inatoa harufu....!

Zipo Dawa za asili, na Binafsi zimeniponyesha.
Umetumia dawa ipi mkuu
 
Solution ni moja tu..nunua absolute vodka
Loweka mguu lisaa limoja utawashwa lkn ndio dawa pekee

Then toa game over...
 
Back
Top Bottom