Msaada: Mjamzito kula mende na mijusi

Msaada: Mjamzito kula mende na mijusi

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
313
Reaction score
291
Habarini wana JF,

Mke wangu tangu nimemuoa naona maajabu chakula anapika viwili chake na changu chake hataki nikione, nikaamua kumchunguza anakula nini mpaka nisikione nimekuta anapika mende na muda mwingine anawabanika na kulia ugali,
kila nikimuuliza anakuwa mkali sana sielewi nifanye nini.

Jana ndio kanichosha sana amekamata mijusi wawili kawala bila ya kuwapika mbele yangu.

Na sasa ni mjamzito nashindwa hata la kufanya.

Naombeni msaada
 
Inawezekana mkeo alikuwa beki tatu wa wachina hapo kitambo ndio kawaida yao wachina kula mijusi na vidudu vya ajabu, tunakaanao huku pande zetu ukiwakuta wanakaanga hivyo vidudu vyao vinatoa harufu fulani hivi ya shombo iliyo kaangwa harufu mbaya sana.
 
Back
Top Bottom