abaa4all
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 313
- 291
- Thread starter
- #41
Thanx sana i will work on it ....mungu akubrkKitaalamu tunaiita "PICA", lakini mara kwa mara kwenye Pica Mama mjamzito anakula vitu ambavyo havina faida kilishe yaani havina "Nutrients". Sasa mende kilishe ana PROTINI ya kutupa, mijusi wana 64% protini, 10% mafuta, calcium (Kalisi) na majivu.
Mpeleke mkeo Hospitali wakampime damu-FBC,UE, Bones, LFTs, Ferritin na vipimo vingine daktari wake atakavyoamua.
Wadau wanaokula mende wanasema yaani mende ni mtamu kwelikweli hususan yule wa kubanika.