Habarini wana JF,
Mke wangu tangu nimemuoa naona maajabu chakula anapika viwili chake na changu chake hataki nikione, nikaamua kumchunguza anakula nini mpaka nisikione nimekuta anapika mende na muda mwingine anawabanika na kulia ugali,
kila nikimuuliza anakuwa mkali sana sielewi nifanye nini.
Jana ndio kanichosha sana amekamata mijusi wawili kawala bila ya kuwapika mbele yangu.
Na sasa ni mjamzito nashindwa hata la kufanya.
Naombeni msaada