John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 140
- 107
Asantee mkuu🙏Ngoja wanakuja, ila Hospital ndio wanajibu sahihi.
#YNWA
AsanteePole sana mkuu
Asantee sankama ana nyonyesha hilo ni jambo la kawaida kukauka. vinginevyo anaweza akawa na fangasi ukeni.
Hapan bado hajapata mtoto Asante kwa ushauri..kama ana nyonyesha hilo ni jambo la kawaida kukauka. vinginevyo anaweza akawa na fangasi ukeni.
Acha kufanya tendo la ndoa fanyeni mapenzi ..kuna tofauti kama hutak endelea kumuumiza apitiwe na masharobwalohHabari wakuu poleni na majukumu.
Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe.
Je, tatizo nini itakuwa?
Thanks 🙏Nendeni hospital kwa check-up na matibabu zaidi.