Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

STDs kapime au hapati utelezi ukeni, meaning mpake mafuta Jelly labda hatoi ute wa kutosha kwa sbb mbalimbali
 
Nadhani ana uke mkavu! Au ana vimbe (fibroid) kwenye mji wa uzazi!
Hata hivyo Majibu halisi anayo daktari! Mpeleke hospitali.
 
Mpeleke hospitali akafanyiwe uchunguzi, yawezekana ana shida ya STIs kama vile fungus.
 
Yani muda wote huo mnaangaliana badala mwende kwa Gyno?
Maana unasema ni muda sasa...
 
Back
Top Bottom