Hamna sababu ya kujidai bana, mtoa mada ange declare kuwa hali yangu ni mbaya hata kula na mke ni shida hatujiwezi. Hapo inge justify utetezi wenu kwake.Mkuu huku mitandaoni kila mtu hujidai ni mwema na ana roho nzuri
Kama utaweza uwe unakuja kwangu na familia yako kila weekend na likizo mkuu.Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine
Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila Ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake
Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani hamuhudumii.
Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa, Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo cha kuja kucheza na mwenzake
Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali ya kuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Orphanage zina utaratibu wake.Nyie ndiyo wanafiki wenyewe, watoto yatima wamejaa lakini hata kuwapelekea sabuni hampeleki halafu mnahonga na kununua machangu au kula bata halafu mnaongea ongea tu.
Nyumba yenye wageni ni symbol ya kwamba haina tatizo la njaaKama utaweza uwe unakuja kwangu na familia yako kila weekend na likizo mkuu.
Wengine tunapenda watu.
Hoyu bwana mkubwa kinachomuuma roho ni viporo vyake vya wali marage kuliwa na mtoto wa mama mdogo.Maisha yetu hayo mkuu. Tena wewe unakua umejitoa umejinyima hadi umewadhulumu watoto wako kwaajili ya hao ndugu kwa miaka yote hiyo na sasa wanakucheka😁😁 Mimi siku hizi nasema kama ni msaada uwe kwa jambo la msingi, na huo msaada umfikie mhusika hukohuko waliko😎
Ila sioni gharama kwa huyu mtoto maana anachofuata hapo ni usalama tuu. Huyu bwanamkubwa cha kufanya akae na mkewe amweleze ni kwanini wakae nae na wakubaliane kama ni kwa muda gani. Na amwambie mkewe kwa kuendelea maamuzi kama hayo lazima wayaamue pamoja kabla ya utekelezaji
Hawa jamaa wasikutishe....nyumba si yako! Matumizi ya familia si unatoa wewe?Mkuu mtoto kashaadapt tabia za kike na mama mtu hana habari
Hakika mkuu, watu ni Lango la baraka ila jamaa hajui.Nyumba yenye wageni ni symbol ya kwamba haina tatizo la njaa
Hahahahah mtoto wa miaka 6 yupi huyo anaekula mlo wa mtu mzima? Angekuwa 11+ hapo sawa ila 6 yrs ni mdogo sana bana we. Mtoto wa la kwanza ale mlo wa mtu mzima?Gharama lazima ipo mkuu, ukiona jamaa anavolalamika jua kuna jambo kaliona,
Kushinda kwake siku tatu lazima ale afuliwe na mengineyo pia mkewe pengine kwa kujifanya mwema na nguo na viatu anamnunulia pia,
Usisahau mtoto wa miaka 6 anaweza kula mlo mkubwa kuliko wa mtu mzima.
Eeh anaona watoto ni kero mpumbavu kweli kweli. Watoto ni baraka sana kwani ni kama malaika wa ulinzi watakuwa wanaizingirs nyumba yako muda mwingi.Hakika mkuu, watu ni Lango la baraka ila jamaa hajui.
Anachotaka nafasi nzuri ya kumshikashika maziwa vizuri mke wake.
Mkuu wewe unayasema haya lkn huyafanyi ndio maana umesema hujapata nafasi ya kulea, sio kwamba hujapata bali hujaweka mazingira ya kukaribisha hilo jambo ikiwa unalipenda,Hamna sababu ya kujidai bana, mtoa mada ange declare kuwa hali yangu ni mbaya hata kula na mke ni shida hatujiwezi. Hapo inge justify utetezi wenu kwake.
Ila kama kila kitu kipo on de right tilaki huo ni uchoyo tu black and white! Tabia ya hovyo sana!
Nipo upande wenu mkuu....kila mmoja ashinde mechi zake...Kila Mtu Na Ashinde Match Zake!!
Niko Upande Wa Mleta thread!
[emoji23][emoji23]
Wife ana dada yake nae ana mtoto ambaye baba yake ni Laisez faire kama wa huyu mtoa mada ila namsaidiaga mara moja moja mambo yakiwa tight na nilishakaaga nae kipindi kirefu tu so naelewa.Mkuu wewe unayasema haya lkn huyafanyi ndio maana umesema hujapata nafasi ya kulea, sio kwamba hujapata bali hujaweka mazingira ya kukaribisha hilo jambo ikiwa unalipenda,
Akikua ataachaEeh anaona watoto ni kero mpumbavu kweli kweli. Watoto ni baraka sana kwani ni kama malaika wa ulinzi watakuwa wanaizingirs nyumba yako muda mwingi.
Hazina utaratibu wowote mbona mimi napeleka tu tena sa ingine nikiamua naishia getini siingii hata huko ndani.Orphanage zina utaratibu wake.
Wapi imeandikwa mkuu, maskini na mayatima sawa lkn mtu ana wazazi wake wote hapana sikubaliani na wewe.Nyumba yenye wageni ni symbol ya kwamba haina tatizo la njaa
Kuna watu mna busara humu hadi mnakera 😂🙌Nadhani hapo lengo la mkeo ni watoto wazoeane maana ni ndugu.
Kuhusiana na kumsukumizia kwenu sababu ya wewe hapo SIJUI.
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Hata kama ni kiporo mkuu si ni gharma pia au!!Hoyu bwana mkubwa kinachomuuma roho ni viporo vyake vya wali marage kuliwa na mtoto wa mama mdogo.