Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Unalea Tu jomba mungu atakulipa! Au Imani ni kuunga unga?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Sure kaka, naona watu wanajitoa ufahamu eti huo ni uchoyo. Yaani kuzaa azae yeye na aliyemzalisha yupo halafu malezi mileee mimi ujinga huu
Acha uchoyo mkuu!

Hayo yote unayoyasema mtoto hayajui

Unaweza kufikiri unawakomoa wazazi kumbe unamkomoa mtoto.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Nyie mna matatizo sana, umeambiwa huyo mdada hataki mtoto aende kwa baba yake kisa kaoa mke mwingine, hapo ni wivu wa kuachwa unamsumbua. Kama mleta uzi angesema baba amegoma kabisa kuhudumia au baba yuko mkoani hapo sawa, but mtaa mmoja halafu huyo single mother hataki mtoto awe anaenda kwa baba yake kwa kuwa yeye kapigwa chini, hiyo mimi sifanyi huo ujinga kabisa.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Daah!! wanaume hatupo ivo Mzee yaani katoto kamoja tena miaka 6 kanakutoa povu kiasi hicho?....

Sasa vipi ukikabidhiwa familia nzima ya mdogo au kaka yako uilee mfano awe amepata ajali kafa?

Usipokuwa makini utapata shida sana katika hii dunia huko mbele..
 
Mamii huyu jamaa anataka kutufanya wote tuonekane vituko ila trust me wanaume wenye choyo ni 1% tu ya population na hawa huchangiwa na malezi mabovu.
Babu yangu alikuwa anapenda kuniambia unaniangalia lakini hunioni... Nilikuja Kumuelewa baadae sanaa. Wengi humu, sana mnaokomaa na issue ya UCHOYO mmeshindwa Kumuelewa jamaa...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeanza kazi hata kabla ya kuoa nimekaa na kulea watoto wa ndugu zangu. Pamoja na kuwa na watoto wangu but nimeendelea kuwalea, kama wa kwangu mpaka wakaenda vyuo na kuanza kazi. Wengine baada ya kuanza maisha yao wala hawana time na mimi, so habari ya kwamba eti ni baraka sijui nini hakuna lolote. Wewe ukifanya hivyo chukulia ni kutenda wema na uende zako. Halafu hawa wanawake ndugu zetu ma single mothers yaani akiona kapata wa kumsaidia ndiyo kwanza anajisahau...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Babu yangu alikuwa anapenda kuniambia unaniangalia lakini hunioni... Nilikuja Kumuelewa baadae sanaa. Wengi humu, sana mnaokomaa na issue ya UCHOYO mmeshindwa Kumuelewa jamaa...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Unamuelewaje mvulana anaelalamikia gharama za chakula cha mtoto ikiwa yeye pia ana mtoto.
 
Jamaa anatia aibu😝
 
Kuhamia ni ngumu maana obvious mtoto anasoma na umri wake unasogea. It means akifika 10 years ni umri ambao anaweza jitegemea so atakaa vizuri hata akiachwa mwenyewe
 
Huyo mtoto ana haki ya kumuona baba yake mara kwa mara, mama anakosea sana kumnyima hiyo haki wakati baba aliyemzaa yupo duniani. Mtoto akiwa mkubwa atamchukia sana huyo mama yake...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Mtoto hajawahi kumchukia mama wewe 😂😂😂 ingekuwa baba ni sawa.
 
Huwezi ruhusu mtoto ahamie moja kwa moja, akifika umri ambao anaweza kujitegemea like 10 yrs and above unaweza mwambia shemeji akae nae kwake sasa.

Kwa umri huo alionao sasa hata kujipikia hawezi ndio maana kaspgezwa kwako.
 
Kwanza unatakiwa kulipa huuyho mtoto kwa kuja mkucheza na mwanao acha mkufujatioia mambo madogo hao ni ndugu, wa damu nakushauri mchukkuje kbs itasaidia shrm kuolewa........ jama vipi tupe budget ya hizo siku mbili tupange donation......
 
Huyo mtoto ni wa mkeo. Alizaa kabla hamjaoana. Muache mke wako alee mtoto wake.

Tena baba mtoto atakuwa anakuja kuwatembelea
 
Huyo mtoto ni wa mkeo. Alizaa kabla hamjaoana. Muache mke wako alee mtoto wake.

Tena baba mtoto atakuwa anakuja kuwatembelea
Dang son.

Kama uko sawa uko perceptive sana.

Kama umekosea una confidence mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…