Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Hii kauli ya watoto ni malaika ni uongo mtupu, hakuna binadamu anayezaa malaika, binadamu anazaa binadamu mwenzake.
 
Sio kitu chepesi kabisa, huenda mke wake akamchukulia ana roho mbaya kama alivyoonekana na wengi humu jukwaani.
Kama hamtaki huyo mtoto na ana sababu za msingi mbona anashindwa kumwambia mkewe?. Yeye ndio baba wa familia yake na sioni kwa nini ushauri wa kitu chepesi kama hiki utoke kwa great thinkers [emoji16][emoji16]
 
Acha kujifunza unyimi maisha ni mzunguko hawa wanawake tunaooa wanachangamoto nyingi za kifamilia hivyo zipokee kwa kuwa kuishi na huyo mtoto kuna madhara gani kwako chukulia ulimuoa akiwa na mtoto ungemtupa?.

Mlee tu hakuna shida chakula tu kinachooza kikukoseshe pumzi.Wengi wanaotoa hoja hizi huwa wa Dar kwenye shida ya misosi.Mlete nimlee na shemeji yako wote watakula na kusaza.Tuna shida ya pesa siyo chakula.
 
Mkuu usicomment haraka, soma btn lines japo jamaa ameshindwa kuipresent hii mada vizuri, huyo mama wa mtoto inaonekana weekend ana mizunguko so hana sehemu ya kumpeleka mtoto, maana daima weekend ndo muda wa kukaa na mtoto maana hawaendi shule, sasa kwanini asikae naye??

Hii itaendaaa, trust me mwishon atamhamishia huyo mtoto kwa jamaa, na hapo ndo jamaa ataingia kwenye majukumu rasmi ya ulezi hadi kusomesha, na akishindwa binadamu watasema hawatajali huu wema anaoufanya sasa.

Hivyo basi jamaa ameona mapema alikatishe hilo, na kwa kweli sisi waafrika hasa sisi watanzania tunajuana, mimi naona yupo sahih kbs ukizingatia wazazi wote wapo.

Na kama lengo ni watoto wazoeane basi na yeye mwenye mtoto awe tayari mtoto wa jamaa aende kwake, kwanini kila siku mtoto wake tu ampeleke kwa jamaa? Kuna ishu inapikwa hapo na inawezekana mke wake jamaa anajua nini kinafanyika.

Ushauri: JAMAA KOMAA MTOTO ALELEWE NA WAZAZI WAKE UNAWEZA UKAMUOMBA SIKU MOJA MOJA NA SIO IWE SHERIA ETI KILA WEEKEND AJE KWAKO.

Na njia rahis ni kumpa mkeo majukum weekend ili aende sehemu yoyote alafu wew mchukue mwanao muende hata bagamoyo, hivyo yule mtoto atabak na mama ake au atajua pa kumpeleka ndo itakuwa mwanzo wa kumuepuka.
 
sawaa
 
Duuuuhhhh.
Kwa hali hii utaweza kuishi na mtoto ambaye si damu yako halisi na kumpa mahitaji sawia na mwanao wa kumzaa?
Utajiri au mali havipatikani kwa roho ngumu na ubahili.
Ningekuwa Mimi ningemchukua huyo mtoto nimlee kabisa.
Na huo utetezi wako hauna mashiko, eti kaadapt tabia za kike.
Mbona ulivyoweka uzi kwa mara ya kwanza hukusema hilo.
Mwanaume mwenzetu umetuletea aibu.
 
Hanipunguziii chochote Ila shida ipo kwa mtoto kaadapt michezo yakike mda wote nimichezo yakike tu
Umebadili gia hewani mkuu
Tatizo ulisemani baba wa mtoto anakula bata huku mzigo unataka kuachiwa.

Suala la mtoto wako wakiume kucheza michezo haliletwi na huyo nduguye, anaweza kucheza na Majirani pia,
Watoto huwa wanacheza michezo inayofanana tu wakiwa wadogo ila kuna wakati ujinsia hu take party
I. e mtoto wa kiume atacheza michezo ya kiume na wa kike michezo ya kike automatically ipo hivyo
 
Mkuu mim ndie mwenye mtoto wakiume
Naomba nikuulize mkuu, najua bado mnaendelea kuzaa, mkizaa majike tupu alafu huyo first born akabaki dume peke yake na wakaendelea kucheza kidaka, kupika kubeba midoli utawafukuza wanaooooo???
Think twice
 
Tatizo lako we jamaa hujui kujenga hoja wadau tukakuelewa.Ila huko chin umesomea kuhusu tabia za kike.Mimi mwenyewe hapo wala nisingeomba ushauri.Huyo mtoto NINGEPIGA MARUFUKU MARA MOJA kuja kwangu kama NIMEONA MAAMBUKIZI YA TABIA TOFAUTI.PIGA MARUFUKU MARA MOJA HARAKA SANA usijali mkeo ATANUNA AU SHEMEJI AKO ATACHUKIA!!!.

Hapo tunazungumzia mustakabali wa mwanangu hilo halihitaji mjadala..
 
Naomba nikuulize mkuu, najua bado mnaendelea kuzaa, mkizaa majike tupu alafu huyo first born akabaki dume peke yake na wakaendelea kucheza kidaka, kupika kubeba midoli utawafukuza wanaooooo???
Think twice
Hapa atahitaji afanye mahesabu kwa usahihi.
 
Unaweza kuta ni mtoto wa mkeo ujui, chunguza, huyo shemeji yako anaweza kuwa kajivisha umama tu
 
Hivi unadhan hilo suala unalozungumzia linapingika kirahisi? Najua umewaza tofauti San kuhusu mienendo ya huyo mtoto mwenye tabia tofauti,
Hilo unalowaza linaweza kumake popote, shule. Mtaan, nyumban, pasipo transfer ktoka kwa mtu wa karibu.
 
yaani una kijiba cha roho. hata kama ni umasikini hutakiwi kuwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…