Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hili linaweza kuwa picha la kutisha zaidi.
Basi kuna asilimia huyo mtoto wa kike ni wa mkeo kabla hamjakutana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kuna asilimia huyo mtoto wa kike ni wa mkeo kabla hamjakutana.
Wote tuseme kwa pamoja mleta mada 'ANA ROHO MBAYAAAAA'
Mkuu mie sio tajiri ila wa nafsi tu mkuu, nina huruma sana na very humble when it comes to such situations. Watoto ni malaika bana angekuwa mtu mzima ungeweza hata kumtimua akajitaftie ila mtoto sio kiumbe cha kuki treat vibaya.
Chuki utakayomjengea itakuja kuwa na athari kubwa sana kwenye vizazi vya mbeleni.
Kama hamtaki huyo mtoto na ana sababu za msingi mbona anashindwa kumwambia mkewe?. Yeye ndio baba wa familia yake na sioni kwa nini ushauri wa kitu chepesi kama hiki utoke kwa great thinkers [emoji16][emoji16]
Mkuu watu tunatamani tupate hata hao watoto tulee ila hatupati
Acha kujifunza unyimi maisha ni mzunguko hawa wanawake tunaooa wanachangamoto nyingi za kifamilia hivyo zipokee kwa kuwa kuishi na huyo mtoto kuna madhara gani kwako chukulia ulimuoa akiwa na mtoto ungemtupa?.Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine
Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila Ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake
Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani hamuhudumii.
Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa, Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo cha kuja kucheza na mwenzake
Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali ya kuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Mkuu usicomment haraka, soma btn lines japo jamaa ameshindwa kuipresent hii mada vizuri, huyo mama wa mtoto inaonekana weekend ana mizunguko so hana sehemu ya kumpeleka mtoto, maana daima weekend ndo muda wa kukaa na mtoto maana hawaendi shule, sasa kwanini asikae naye??Acha kujifunza unyimi maisha ni mzunguko hawa wanawake tunaooa wanachangamoto nyingi za kifamilia hivyo zipokee kwa kuwa kuishi na huyo mtoto kuna madhara gani kwako chukulia ulimuoa akiwa na mtoto ungemtupa?.
Mlee tu hakuna shida chakula tu kinachooza kikukoseshe pumzi.Wengi wanaotoa hoja hizi huwa wa Dar kwenye shida ya misosi.Mlete nimlee na shemeji yako wote watakula na kusaza.Tuna shida ya pesa siyo chakula.

[emoji23][emoji23]Umeeleza vizuri sana mkuu. Haka kajamaa ni kachoyo.
sawaaHabari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine
Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila Ijumaa na kumrudisha Jumapili kwa Dada yake
Sasa akiwa anataka kumrudisha mtoto hataki kurudi kwa mama yake anataka kuendelea kuishi nasi wakati huo baba wa mtoto hana muda na mtoto wake kwa mahitaji ya mtoto yaani hamuhudumii.
Mama wa mtoto hataki hata siku moja kumpelekea mtoto kwa baba yake sababu ana mke mwingine atamtesa, Sasa amekuwa akimsukumia kwangu kwa kigezo cha kuja kucheza na mwenzake
Je, ni sawa baba wa mtoto yupo na mama wa mtoto kukataa mtoto kwenda kwa baba kutembea kwa kisingizio Cha mama wa kambo atamtesa hivyo kuona ni sahihi aende kwa mama yake mdogo hali ya kuwa baba yupo na anajichana na maisha?
Utaratibu upi huo unaokuzuia kuwatembelea na kutoa msaada!!!???Orphanage zina utaratibu wake.
Umebadili gia hewani mkuuHanipunguziii chochote Ila shida ipo kwa mtoto kaadapt michezo yakike mda wote nimichezo yakike tu
Naomba nikuulize mkuu, najua bado mnaendelea kuzaa, mkizaa majike tupu alafu huyo first born akabaki dume peke yake na wakaendelea kucheza kidaka, kupika kubeba midoli utawafukuza wanaooooo???Mkuu mim ndie mwenye mtoto wakiume
Hapa atahitaji afanye mahesabu kwa usahihi.Naomba nikuulize mkuu, najua bado mnaendelea kuzaa, mkizaa majike tupu alafu huyo first born akabaki dume peke yake na wakaendelea kucheza kidaka, kupika kubeba midoli utawafukuza wanaooooo???
Think twice
Hivi unadhan hilo suala unalozungumzia linapingika kirahisi? Najua umewaza tofauti San kuhusu mienendo ya huyo mtoto mwenye tabia tofauti,Tatizo lako we jamaa hujui kujenga hoja wadau tukakuelewa.Ila huko chin umesomea kuhusu tabia za kike.Mimi mwenyewe hapo wala nisingeomba ushauri.Huyo mtoto NINGEPIGA MARUFUKU MARA MOJA kuja kwangu kama NIMEONA MAAMBUKIZI YA TABIA TOFAUTI.PIGA MARUFUKU MARA MOJA HARAKA SANA usijali mkeo ATANUNA AU SHEMEJI AKO ATACHUKIA!!!.
Hapo tunazungumzia mustakabali wa mwanangu hilo halihitaji mjadala..
yaani una kijiba cha roho. hata kama ni umasikini hutakiwi kuwa hivyoHabari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine