Exactly.. yani kaikimbia mada/point yake kahamia kwenye tabia za kike sijui vitu gani.Bahati mbaya katika uzi wako hujainisha jinsia za watoto, na kero yako kubwa ilikua kuhusu baba wa mtoto kujichana na life huku mtoto akiwa kwako.
Hakuna majirani, mazingira yanayomzunguka ni ya kikeKama mazingira yanayomzunguka kwa asilimia kubwa ni mazingira ya kike yani anaoshinda nao muda mrefu basi na yeye lazima ataiga. Ni vizuri zaidi kama kuna majirani muwe mnawaruhusu wachanganyike. Na vile vile umnunulie Dolls za kiume. Mlee tu.
🤣🤣🤣JF sihami ng'oo!Yaani mkuu umeisema kiroho mbaya kama vile unatusuta hadi sisi..!!
Hiki ni kisingizio tu! Tena chukua huyo mtoto ukae nae moja kwa mojaMkuu lengo siko uko mtoto kashaanza kubeba tabia zakike sababu ya mda mwingi yupo nawakike namama harekebishi kwake nisawa
Mtoto kuadopt tabia za kike atakua amechukua kwa baba yake were... mtoto amekosa father figure au unadhani hizo tabia zinachomoza tu kama matawi ya miti... acha gubu acha kisirani ulivyopenda boga upende na UA... hapo mtoto akija mama mkwe so ndo utampeleka nyumba ya kumi kumshtakiMkuu lengo siko uko mtoto kashaanza kubeba tabia zakike sababu ya mda mwingi yupo nawakike namama harekebishi kwake nisawa
Mkuu sio kisingizio ndio situation nayopitiaHiki ni kisingizio tu!Tena chukua huyo mtoto ukae nae moja kwa moja
Bado mdogo sidhani kama ina athari zozote. Hujiulizi wenye watoto wa jinsia tofauti wanaofuatana wanawaleaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]JF sihami ng'oo!
Sio wabinafsi kila mtu na maisha yako si utumie cha kwakoSiku hizi watu ni wabinafsi sana aisee.
Nimesoma post yako lakini sijakuelewa tatizo lako la msingi. Naomba kujua mtoto wako na mtoto wa shemeji yako wana umri gani? Tafadhali...Mkuu sio kisingizio ndio situation nayopitia
6&4Nimesoma post yako lkn sijakuelewa tatizo lako la msingi. Naomba kujua mtoto wako na mtoto wa shemeji yako wana umri gani? Tafadhali...
Najiuliza tu kama yeye angekuwa na mtoto wa kiume angefata tabia za kike kama huyo mtoto mwingine? Sijaelewa ni nini hasa kimesababisha mtoto afate tabia za kike zaidiExactly.. yani kaikimbia mada/point yake kahamia kwenye tabia za kike sijui vitu gani.
Anazunguka mbuyu tuu, tuseme hamtaki tuu uyo mtoto aende kwake.
Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
Ungekuwa na mtoto wa kiume unadhani angefata tabia za kike pia?Hakuna majirani mazingira yanayomzunguka niyakike
Mkuu mim ndie mwenye mtoto wakiumeNajiuliza tu kama yeye angekuwa na mtoto wa kiume angefata tabia za kike kama huyo mtoto mwingine? Sijaelewa ni nini hasa kimesababisha mtoto afate tabia za kike zaidi
Okay. Kwahiyo ungekuwa na mtoto wa kiume na wa kike wote wa kwako wangefata tabia za kike?Mkuu mim ndie mwenye mtoto wakiume