Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Anakupunguzia gharama, la maana awe msafi, apunguze nywele, paka mafuta, weka usafi. Nguo za kawaida ambazo ni safi. Shukuru mkeo hataki makuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo wa hivyo umempata wapi mbona sisi wanachama wa UWABATA tunawasaka saana na hatuwapati?Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anaye pendeza na kujijali , na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi
Weee usiniambieKumbe basi Uwe na siku njema
Mpe outing za mara kwa mara
Mshauri tu kuhusu kunyoa low cut asifuge nywele Kama haziweki katka utaratibuNi watu wa Arusha tena mjini kabisa. Kipindi cha uchumba alikua akipendeza haswa sasa sijui ninini kimempata. inanitia simanzi
Ahsante sana mkuuhuyo ataka ufanye maendeleo kwanza, mwanamke anaekupenda hujinyima kwa baadh ya mambo na kumpa fursa ya kufanya maendeleo mtu wake, hata kama hajakueleza hili jiongeze, mwanamke mwenye akili akiwa ndoani hujivunia maendeleo na si kupendeza.
Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali , na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje
0713291348Hebu nipe namba yake nikusaidie kumshauri
Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali , na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi minne hivi) ndio huwa anakubali kwenda saluni kusuka tena kwa ugomvi. Hela za saluni kila mwezi natenga elfu hamsini hadi sabini hivi (kwa uwezo wangu wa kipato) ila mtihani ni kumshawishi akubali. Mara kadhaa nimejikuta natembea na vibinti vinavyopendeza au vinavyokubali nivipendezeshe nje ila hili linanikwaza sana maana sipendi kumsaliti. hata kumtoa kwenda kununua nguo nzuri hataki mara nyingi. Nahitaji ushauri namfanyaje huyu mke wangu ili moyo wangu uweze kutulia. asanteni.
Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali , na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi minne hivi) ndio huwa anakubali kwenda saluni kusuka tena kwa ugomvi. Hela za saluni kila mwezi natenga elfu hamsini hadi sabini hivi (kwa uwe
Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali , na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi minne hivi) ndio huwa anakubali kwenda saluni kusuka tena kwa ugomvi. Hela za saluni kila mwezi natenga elfu hamsini hadi sabini hivi (kwa uwezo wangu wa kipato) ila mtihani ni kumshawishi akubali. Mara kadhaa nimejikuta natembea na vibinti vinavyopendeza au vinavyokubali nivipendezeshe nje ila hili linanikwaza sana maana sipendi kumsaliti. hata kumtoa kwenda kununua nguo nzuri hataki mara nyingi.
Nahitaji ushauri namfanyaje huyu mke wangu ili moyo wangu uweze kutulia.
asanteni.
zo wangu wa kipato) ila mtihani ni kumshawishi akubali. Mara kadhaa nimejikuta natembea na vibinti vinavyopendeza au vinavyokubali nivipendezeshe nje ila hili linanikwaza sana maana sipendi kumsaliti. hata kumtoa kwenda kununua nguo nzuri hataki mara nyingi. Nahitaji ushauri namfanyaje huyu mke wangu ili moyo wangu uweze kutulia. asanteni. [/QUOTE
Huyo mkeo yupo kati ya makundu haya:
1. Ameshagundua ww ni mchepukaji na unapitia mpaka wasusi na hivyo hawaamini wasije mloga kwa kupitia nywele zake
2. Inawezekana amepata uamsho wa imani yake ambayo inamuelekeza kusuka ni dhambi
3. Amesharidhika, maana alijipamba ili akupate...sasa ameshakupata ajipambe kwa sababu gani tena😂!...mpe sababu ya yeye kujipamba...ila usije kutulilia tena akiitiwa na wachepukaji kama ww akipendeza🤔!
4.....ongeza yako
Hahahah ushauziwa mbuzi kwenye gunia mzee 😂😂😂! Hapa na goma langu la kichuga naliseti ila inaonekana alikuwaga gangsta sana miaka ya nyuma ndio anaanza kupata tabia za kisichana! Ye poda kwake mwikoNi watu wa Arusha tena mjini kabisa. Kipindi cha uchumba alikua akipendeza haswa sasa sijui ninini kimempata. inanitia simanzi
Wakati unachagua kumuoa hukujua kama hapendi mambo ya kusuka na kupendeza? au mwenzetu umeoa kizamani uliletewea na wazazi kutoka kijijini binti usiemjua ukaanza tu kuishi nae? Kama ulimjua toka mwanzo yuko hivyo na still ukaona anafaa acha unafkiWakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali , na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje
Labda hapendi kusuka? Basi mpeleke saloon akate nywele style nzurii atapendeza tuu! Kama hataki basi mpeleke kwa Mwamposa amuombee ☺️Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali , na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough, mara chache (mara moja kwa miezi
Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu.
Babeki0713291348