Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

Mwanamke anapotoka kwenye siku zake anatakiwa akoshe nywele pia asuke mkeo hafanyi miezi 4 zinanunuka izo kuliko mzoga
Umeambiwa hasuki sio haogi. Kwani asiyesuka nywele hawezi kuziosha, kwani nywele zilizosukwa na zisizosukwa ni zipi zinaoshwa kirahisi
 
Je mkeo hapendi kutembea tembea na pia hapend kujichanganya Sana na marafik? Ni mtu anayependa kukaa nyumban muda mwingi Sana?
 
Ni watu wa Arusha tena mjini kabisa. Kipindi cha uchumba alikua akipendeza haswa sasa sijui ninini kimempata. inanitia simanzi
Na wewe ni mtu wa Arusha?..

Atakuwa àna save pesa na kuwasaidia ndugu zake mahitaji ya hapa na pale au ninmtunza akiba mzuri.. hataki kutumia gharama kubwa kwenye kusuka
 
Back
Top Bottom