Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

Mwanamke anapotoka kwenye siku zake anatakiwa akoshe nywele pia asuke mkeo hafanyi miezi 4 zinanunuka izo kuliko mzoga
Umeambiwa hasuki sio haogi. Kwani asiyesuka nywele hawezi kuziosha, kwani nywele zilizosukwa na zisizosukwa ni zipi zinaoshwa kirahisi
 
Je mkeo hapendi kutembea tembea na pia hapend kujichanganya Sana na marafik? Ni mtu anayependa kukaa nyumban muda mwingi Sana?
 
Muitie msusi nyumbani amsuke, mnunulie nguon nzuri muekee nsani awe anazivaa
Wow...!, she must be very special.. tumpikie na chakula tumlishe😃😄😁
 
Ni watu wa Arusha tena mjini kabisa. Kipindi cha uchumba alikua akipendeza haswa sasa sijui ninini kimempata. inanitia simanzi
Na wewe ni mtu wa Arusha?..

Atakuwa àna save pesa na kuwasaidia ndugu zake mahitaji ya hapa na pale au ninmtunza akiba mzuri.. hataki kutumia gharama kubwa kwenye kusuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…