ntabudjo
Member
- Jun 1, 2016
- 70
- 64
Habarini za weekend wana JF wenzangu,
Kama nilivyoandika kichwa cha habari hapo juu mke wangu ambae ni mke wangu mtarajiwa huwa anapata mamumivu makali sana kila baada ya kufanya mapenzi tumeshakwenda MUHIMBILI tukamuona specialist tukapewa dawa na baadhi ya mashart amabyo tuliyakamilisha na aligundulika alikuwa na CYST sasa baada ya matibabu akapona kabisaa hasa mamumivu ya tumbo kila mara anapokaribia na anapomaliza mzunguko wake wa hedhi sasa tatizo lililopo sasa ni maumivu makali sana ya tumbo baada ya kugegedana.
Kwa mwenye kujua sababu naomba anijuze nifanyeje ili mke wangu apone.