Msaada; mke wangu huwa anapata maumivu makali kila baada ya kufanya mapenzi

Msaada; mke wangu huwa anapata maumivu makali kila baada ya kufanya mapenzi

ntabudjo

Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
70
Reaction score
64
Habarini za weekend wana JF wenzangu,

Kama nilivyoandika kichwa cha habari hapo juu mke wangu ambae ni mke wangu mtarajiwa huwa anapata mamumivu makali sana kila baada ya kufanya mapenzi tumeshakwenda MUHIMBILI tukamuona specialist tukapewa dawa na baadhi ya mashart amabyo tuliyakamilisha na aligundulika alikuwa na CYST sasa baada ya matibabu akapona kabisaa hasa mamumivu ya tumbo kila mara anapokaribia na anapomaliza mzunguko wake wa hedhi sasa tatizo lililopo sasa ni maumivu makali sana ya tumbo baada ya kugegedana.

Kwa mwenye kujua sababu naomba anijuze nifanyeje ili mke wangu apone.
 
habarini za weekend wana jf wenzangu

kama nilivyoandika kichwa cha habari hapo juu mke wangu ambae ni mke wangu mtarajiwa huwa anapata mamumivu makali sanaaa kila baada ya kufanya mapenzi tumeshakwenda MUHIMBILI tukamuona specialist tukapewa dawa na baadhi ya mashart amabyo tuliyakamilisha na aligundulika alikuwa na CYST sasa baada ya matibabu akapona kabisaa hasa mamumivu ya tumbo kila mara anapokaribia na anapomaliza mzunguko wake wa hedhi sasa tatizo lililopo sasa ni maumivu makali sana ya tumbo baada ya kugegedana k
kwa mwenye kujua sababu naomba anijuze nifanyeje ili mke wangu apone
Bora uende hospital tena Mkuu!
 
usiwe unamwagia sperm uwe unamwaga nje anaweza akawa na aleji na sperm zako
 
Habarini za weekend wana JF wenzangu,

Kama nilivyoandika kichwa cha habari hapo juu mke wangu ambae ni mke wangu mtarajiwa huwa anapata mamumivu makali sana kila baada ya kufanya mapenzi tumeshakwenda MUHIMBILI tukamuona specialist tukapewa dawa na baadhi ya mashart amabyo tuliyakamilisha na aligundulika alikuwa na CYST sasa baada ya matibabu akapona kabisaa hasa mamumivu ya tumbo kila mara anapokaribia na anapomaliza mzunguko wake wa hedhi sasa tatizo lililopo sasa ni maumivu makali sana ya tumbo baada ya kugegedana.

Kwa mwenye kujua sababu naomba anijuze nifanyeje ili mke wangu apone.
PUNGUZA UUME MKUU... DUDU REFU LINAFIKA HADI KWENYE KIZAZI
 
Jaribu kumchunguza uke wake je kabla ya kutofanya mapenzi uke wake huwa una ukavu? Yaani uke wake upo ukavu sana? na wewe unapofanya nae Mapenzi huwa unamchezea sehemu zake za siri ili kuwe na umaji maji ili na wewe uweze kuingia kiurahisi na kufanya nae hayo mapenzi yenu? Kama uke wake ni mkavu ndio itakuwa pia sababu ya yeye kupata maumivu kila unapomaliza kufanya nae hayo mapenzi.

NA HAPA CHINI MAELEZO YOTE YANATAKIWA KUCHUNGWA NA DAKATARI MJUZI:

Painful intercourse is called dyspareunia and here is a list of possible causes. Post again if I can be of any more help. Good luck.

Dyspareunia, means pain during intercourse and can be caused by either something inside the vagina or outside in the pelvic organs. Inside the vagina some common causes are:

(1) Vaginismus or painful spasm of the vaginal muscles. This is considered in more detail as a separate dysfunction on my website. It is mentioned here only because it is often confused as primarily dyspareunia.

(2) Female Sexual Arousal Deficit. FSAD. Again, this is considered in more detail on my website as a separate issue but it too is often erroneously lumped in with dyspareunia.
(3) Vaginitis or infection.
(4) Perineal tear.
(5) STD, particularly herpes simplex
.

Outside the vagina some common causes are:
(1) Endometriosis.
(2) Ovarian Cyst.
(3) Uterine fibroids.
(4) Diverticular disease.
(5) Pelvic Inflammatory Disease’

All of these conditions need appropriate investigation. It would be very helpful to your doctor, attempting to diagnose the cause of your pain, if you could pinpoint the exact point at which you feel it. Is it just as your partner enters you? Is it in the middle somewhere? On the other hand, is your pain mostly felt when he is deep inside you and thrusting.

dyspareunia.jpg

T
 
muandae vema lbada maandalizi pia yanachangia ,,au the nini ile iko big kwa ke yake
 
Back
Top Bottom