BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kama unawekaa na gar npgie 0784616544 pesa haibadilishwii kwa kalatasiHabari wanabodi, kuna mkopo unahitajika urgent wa kiasi cha Milioni 4.
Dhamana ya mkopo huo: Kadi ya gari aina ya IST.
Kwa maelezo zaidi kuhusu picha, mawasiliano,nyaraka zingine muhimu na makubaliano ya RIBA na muda wa kurejesha mkopo huo tafadhali karibu PM.
Asante.
0715591141 ncheki Kna mtu atakupa huo MkopoHabari wanabodi, kuna mkopo unahitajika urgent wa kiasi cha Milioni 4.
Dhamana ya mkopo huo: Kadi ya gari aina ya IST.
Kwa maelezo zaidi kuhusu picha, mawasiliano,nyaraka zingine muhimu na makubaliano ya RIBA na muda wa kurejesha mkopo huo tafadhali karibu PM.
Asante.
Nmeku pm nasubiria jibuHabari wanabodi, kuna mkopo unahitajika urgent wa kiasi cha Milioni 4.
Dhamana ya mkopo huo: Kadi ya gari aina ya IST.
Kwa maelezo zaidi kuhusu picha, mawasiliano,nyaraka zingine muhimu na makubaliano ya RIBA na muda wa kurejesha mkopo huo tafadhali karibu PM.
Asante.
Umeongea kweli mkuu, kuna watu wanabalaa sana, yaani unamfanyia biashara yeyeKuwa makini na mtu utakae chukua mkopo kwake.
Kuna watu hela zao hazirudigi ata uzungushe vipi wana mambo yao nyuma ya mkopo.
Nakushauri ili ist yako isije ikaenda kwa mil 4.
Ukionyesha uhitaji sana watatumia udhaifu wako na utasign mkataba fasta fasta na hapo ndo unakuwa umeuza gari kwa bei ya kutupa.