BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Habari wanabodi, kuna mkopo unahitajika urgent wa kiasi cha Milioni 4.
Dhamana ya mkopo huo: Kadi ya gari aina ya IST.
Kwa maelezo zaidi kuhusu picha, mawasiliano,nyaraka zingine muhimu na makubaliano ya RIBA na muda wa kurejesha mkopo huo tafadhali karibu PM.
Asante.