Msaada; Mpenzi wangu anataka video call kila wakati

Dah vijana mna kazi Sana ,sasa umejiokotea lidada lishamba alafu unakuja kunikurupua eti msaada tutani .

Hilo lidude libwagwe chini au acha Mara moja kulifikisha kileleni ili liache shobo kila muda
 
Umri wako tafadhali
 
Sasa kijana mbona unamwita demu ni mshamba, ungeanza kujiita mwenyewwe Kwa sababu naona wawe ndo una matatizo lukuki.
Kwa hakika nyani hawezi kujua kuwa ana tako jekundu, kutwa kucheka uekundu wa nyani wengine.
 
Vipi akiwa hom atakutwangia akiwa uchi pia?.
 
Shida ilianza hapo kwenye demu
 
Kuna denti wa chuo bila shaka ni first year yule halafu ni kienyeji fulani hivi nilimuona anaongea kwa videocall mchana wa jua kali kishenzi na yeye yupo juani...

Enyi wenye watoto wazoesheni mambo ya teknolojia mapema hawa binti zenu, huwa wanafanya vitu vya ajabu ajabu wakifika chuo mkawapa smartphone.

Ni kitu cha ajabu kuongea na mtu huku unakuona live live, kuchart na mtu whatsapp, sijui kupost status na vitu kama hizo huwazuzua sana mabinti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…