Msaada; Mpenzi wangu anataka video call kila wakati

Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii mgahawan linapiga yaaan full call naweza zuia video yake isiingie kwangu mm naona ksnunua smart phone mwaka 2024 mwezi huu linapenda sana video shamba mnoo msaada wadau
Dah vijana mna kazi Sana ,sasa umejiokotea lidada lishamba alafu unakuja kunikurupua eti msaada tutani .

Hilo lidude libwagwe chini au acha Mara moja kulifikisha kileleni ili liache shobo kila muda
 
Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii mgahawan linapiga yaaan full call naweza zuia video yake isiingie kwangu mm naona ksnunua smart phone mwaka 2024 mwezi huu linapenda sana video shamba mnoo msaada wadau
Umri wako tafadhali
 
Sasa kijana mbona unamwita demu ni mshamba, ungeanza kujiita mwenyewwe Kwa sababu naona wawe ndo una matatizo lukuki.
Kwa hakika nyani hawezi kujua kuwa ana tako jekundu, kutwa kucheka uekundu wa nyani wengine.
 
Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii mgahawan linapiga yaaan full call naweza zuia video yake isiingie kwangu mm naona ksnunua smart phone mwaka 2024 mwezi huu linapenda sana video shamba mnoo msaada wadau
Vipi akiwa hom atakutwangia akiwa uchi pia?.
 
Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii mgahawan linapiga yaaan full call naweza zuia video yake isiingie kwangu mm naona ksnunua smart phone mwaka 2024 mwezi huu linapenda sana video shamba mnoo msaada wadau
Shida ilianza hapo kwenye demu
 
Kuna denti wa chuo bila shaka ni first year yule halafu ni kienyeji fulani hivi nilimuona anaongea kwa videocall mchana wa jua kali kishenzi na yeye yupo juani...

Enyi wenye watoto wazoesheni mambo ya teknolojia mapema hawa binti zenu, huwa wanafanya vitu vya ajabu ajabu wakifika chuo mkawapa smartphone.

Ni kitu cha ajabu kuongea na mtu huku unakuona live live, kuchart na mtu whatsapp, sijui kupost status na vitu kama hizo huwazuzua sana mabinti.
 
Back
Top Bottom