maada yako haiendani kabisa na maelezo yako. Inavyoonyesha huyu mwanamke humpendi na umemchoka, bora umwambie tuu kama humpendi au ushamchoka!
Jamaa unaonekana shule imepitia mlango wa nyuma. wacha nikusaidie wakati mwengine unapotaka kuandika andika hivi:
kichwa cha habari :
msaada kwa mpenzi wangu
maelezo:
nina mpenzi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, kitaalamu unaitwaje huu ugonjwa? na unatokana na sababu gani? jee ugojwa huu huwa unatibika au hautibiki? na jee kuna dawa ambazo husaidia za hospital au za kienyeji? na kama kuna vyakula gani ambavyo ndio vinafanya usipone? na mwisho jee unaambukiza?
natanguliza shukrani kwa watakaochangia
ahsantenI