Msaada: Mpenzi wangu anaumwa vidonda vya tumbo

Msaada: Mpenzi wangu anaumwa vidonda vya tumbo

chrisno

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
117
Reaction score
16
Ni siku nyingi kidogo nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja hapa Tanzania lakini tangu nimeanza naye uhusiano sijawi kumpa hata shilingi yeye huwa anasema ananipenda sana na angependa tuje oana.

Lakin tatizo lake ni moja tangu nimeanza mahusiano naye mara kwa mara amekuwa na tabia ya kunipigia simu na kunijulia hali pia kila nikiongea naye anasema anaumwa ( madonda ya tumbo), cha kujiuliza tangu aanze kutumia dawa haponi tu!

Je? Huo ugonjwa wa madonda ya tumbo hauponeki?
Je huo ugonjwa haurithiwi?

Msaada kwenu mwenye ufahamu
 
maada yako haiendani kabisa na maelezo yako. Inavyoonyesha huyu mwanamke humpendi na umemchoka, bora umwambie tuu kama humpendi au ushamchoka!
Jamaa unaonekana shule imepitia mlango wa nyuma. wacha nikusaidie wakati mwengine unapotaka kuandika andika hivi:
kichwa cha habari :
msaada kwa mpenzi wangu
maelezo:
nina mpenzi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo, kitaalamu unaitwaje huu ugonjwa? na unatokana na sababu gani? jee ugojwa huu huwa unatibika au hautibiki? na jee kuna dawa ambazo husaidia za hospital au za kienyeji? na kama kuna vyakula gani ambavyo ndio vinafanya usipone? na mwisho jee unaambukiza?
natanguliza shukrani kwa watakaochangia
ahsantenI
 
Vidonda vya tumbo kibongobongo kwa wengi haviponi vinapoa makali tu
 
asante ndg kwa kunirudisha class ni kweli clas ilipita pembeni maana mwalim wangu wakiswahili alifarki nikiwa la kwanza
shukrani zende kwako seliselina
 
Vidonda vya tumbo kibongobongo kwa wengi haviponi vinapoa makali tu

Huyu jamaa Nilichokiona nibkuwa anahisi huyo Dada anagonjwa kama ukimwi na vidonda vya tumbo ni kati ya magonjwa nyemelezi yaliyoambatana na hilo gonjwa. Hicho ndicho kisa cha yeye kukosa imani nae, mengine ya kurithiwa au hapana anajizungusha tu.
 
hii mada mbna imenipa chenga hiv au mmi nmekosea badala ya kuingia TECH nimeingia JF Doctor...........msaada jamani nmepotea kidgo
 
apewe msaada jamani hata kama amekosea jukwaa
 
apewe msaada jamani hata kama amekosea jukwaa

hakuna sehemu isiyo na utaratibu. Na utaratibu unapokiukwa mandhari inabadilika.
Ni kweli ndugu yetu anahitaji msaada lakini amevunja utaratibu.
 
Tukiachana na fact kwamba jinsi ulivyoileta mada yako haipo kama unataka kumsaidia ila rather kujithibitishia jambo. Hukai kama wampenda kweli...Hapo ni mimi tu nimesoma between the lines lakini, huenda nimekosea!

BACK TO TOPIC:

- Vidonda vya tumbo hupona na kuisha kabisa.

- Ni kweli ugonjwa huu unaweza kuambukiza kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
 
Back
Top Bottom