Ni siku nyingi kidogo nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja hapa Tanzania lakini tangu nimeanza naye uhusiano sijawi kumpa hata shilingi yeye huwa anasema ananipenda sana na angependa tuje oana.
Lakin tatizo lake ni moja tangu nimeanza mahusiano naye mara kwa mara amekuwa na tabia ya kunipigia simu na kunijulia hali pia kila nikiongea naye anasema anaumwa ( madonda ya tumbo), cha kujiuliza tangu aanze kutumia dawa haponi tu!
Je? Huo ugonjwa wa madonda ya tumbo hauponeki?
Je huo ugonjwa haurithiwi?
Msaada kwenu mwenye ufahamu