Akilala mzibe mdomo na plasta
Ushauri wangu ni Hilo jina lako tu broNisaidieni mwenzenu jamani nimepata manzi mzuri balaa kaumbika idara zote nilikuwa sijui kumbe ana kipaji cha kukoroma,huu mwezi nalala kwa taabu sana najikuta mkesha..Saa hizi nipo kwenye ule uzi wetu kule nakesha sina namna.
Ukinigaia Mimi itapendeza zaidihhahaha had nimepaliwa dah we dogo nakugawa