Msaada: Msichana anakoroma balaa!

Msaada: Msichana anakoroma balaa!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Nisaidieni mwenzenu jamani nimepata manzi mzuri balaa kaumbika idara zote nilikuwa sijui kumbe ana kipaji cha kukoroma,huu mwezi nalala kwa taabu sana najikuta mkesha..Saa hizi nipo kwenye ule uzi wetu kule nakesha sina namna.
 
DXosfs_XkAMQpzK.jpg:large
 
Kukoroma kwa mwanamke hua ina-turn off..
 
labda analala vibaya hapati hewa ya kutosha. Badilisheni mfumo wa kula, kuleni chakula kabla ya 2, then mnakaa kama 2hrs kabla ya kulala, anywe maji mengi
 
Dah mie pia nakoroma nikimpata huyo itakuwa ngoma droo. Kama vp ni-pm namba zake niunganishe nae damu
 
kukoroma nadhani ni tabia/mazoea ambayo huwa unaweza kuacha....

inaonekana analala vibaya aidha kwa ubavu au kwa mgongo... jitahidi akiwa amelala vibaya mgeuze awe analala na tumbo....

this is the best way, kwa njia hii ni ngumu sana kukoroma
 
Nisaidieni mwenzenu jamani nimepata manzi mzuri balaa kaumbika idara zote nilikuwa sijui kumbe ana kipaji cha kukoroma,huu mwezi nalala kwa taabu sana najikuta mkesha..Saa hizi nipo kwenye ule uzi wetu kule nakesha sina namna.
Ushauri wangu ni Hilo jina lako tu bro
 
Akianza kukoroma mpige kelebu moja matata, nakuhakikishia ataacha hiyo tabia!
 
Back
Top Bottom