Msaada:Mtanzania asomae jiangsu, China


Wakati natoka ilikuwa imesimamishwa kwa ajili ya matengenezo. Treni kutoka Nan Jing haikuwepo hadi 2011 walipotengeneza. Walipofanya majaribio ilileta hitilafu wakasimama.
 
Okay,

Ila Shanghai(hii ni manspaa ndani ya Jiangsu) kuna wabongo kadhaa pale Jiao Tong University...NanJing pia wapo

Hopefully atapata tu fursa ya kuonana nao...别着急朋友!

Xiexe ni laoban!...kama unawajua hao waliopo Jiao Tong unv niPM mkuu
 

Ahsante sana mkuu....nazisubiria!
 

Ahsante kwa ufafanuzi mkuu
 
Mitanzania mioga sana ikiwa inaenda huko nje yaani kila kitu mpaka iunganishwe na mtu aliyeko huko.ujinga mtupu

Werevu ni upi?...mkuu dont judge from unknown ground! Huu tunaofanya hapa ni msaada mkubwa kwa mtanzania mwenzetu....kama wewe unaona huu ni "ujinga" basi pita tu kimya na "werevu" wako
 
Wakati natoka ilikuwa imesimamishwa kwa ajili ya matengenezo. Treni kutoka Nan Jing haikuwepo hadi 2011 walipotengeneza. Walipofanya majaribio ilileta hitilafu wakasimama.

Inafanya kazi sasa...

Btw naona mleta mada kaweka bayana sasa ni mji wa Suzhou nadhani watanzania wa Shanghai ndio watakuwa karibu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…