Hao ni wataalam wa Eye, Nose na Thoat. Kila hospitali ya rufaa huwa wapoNipo njombe, unaweza kunifafanulia kidogo kuhusu ENT na wapi ntaenda
Okay, AsanteTafuta asali ya nyuki wadogo,tafuta na karafuu ya unga,changanya ktk chupa ya ndogo tupu ya mukolyn au yenye ukubwa kama huo.Asali ijae ktk hiyo chupa,chukua kijiko kimoja kidogo cha chai kijae karafuu,hakikisha umechanganya vizuri,mpe kijiko kikubwa cha chakula kutwa mara 2, kwa uwezo wa Mungu atapona