Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi vilimi vinavokatwaga ni tiba gani ile mkuu halafu watu wanaokata ni malocalist tupuAngalia pia na kilimi chake km kimerefuka sana
Mpeleke hospital specialist wa watoto ,wengi naona wanamuongelea doctor Kimaro sijui kwa Dar..maana mtoto anavyotesa utajikuta unanunua kila dawa unayockia nzuri utajikuta humponyeshi..
Kwa maelezo hayo tu, hyo MTT kapungukiwa na dam, na mm Wa kwangu alinisumbua hvyo, nlitaka kumaliza dawa hospital... MTU mmoja akaniambie, dawa rahis sana, tembele unazi grand unachanganya na viazi na ndizi.. Unaweza kuweka na maziwa na karoti..Mtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakooa leo ni siku ya nane na ni kikoozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya pneumonia lakini hakuna mabadiliko, akaongezewa antibiotics nyingine amplicox na mucolyn lakini bado, leo Kapimwa kifua Dr kasema hana shida yeyote ila kabadilishiwa dawa Kapewa Co trimoxazole bado hakuna badiliko licha ya kuanza kutumia. Sasa sijui shida ni nini.
Hicho kifua ni allergy kama mtoto ameshachoma sindano xpen na amekunywa antibiotic basi hana bacteria infection.Mtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakooa leo ni siku ya nane na ni kikoozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya pneumonia lakini hakuna mabadiliko, akaongezewa antibiotics nyingine amplicox na mucolyn lakini bado, leo Kapimwa kifua Dr kasema hana shida yeyote ila kabadilishiwa dawa Kapewa Co trimoxazole bado hakuna badiliko licha ya kuanza kutumia. Sasa sijui shida ni nini.
Angekuwa na kilimi(kimeo)hizo dawa alizotumia angepona maana wakati mwengine kilimi hupana maambukizi ya bakteria na huvimba lkn kinatibiwa na antibiotic.KuJua kwamba kilimi kirefu ni shida, ntaulizia wataalam wa kuona hicho
Kuhusu TB sidhani siku hizi kuna chanjo ya TB.Kilianzaje ghafla au polepole?
Kinabana au ni kukohoa tu?
Anapata homa?
Kapoteza uzito?
Kuna contact na mtu yeyote mwenye Tb?
Kifua kikavu (dry cough)kwa mtoto husababishwa na baridi au aleji (cold or allergies) na kama hana( fever )homa unatakiwa kumpa vitu vya maji maji sn kama juice ambazo hazina sukar au majiMtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakooa leo ni siku ya nane na ni kikoozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya pneumonia lakini hakuna mabadiliko, akaongezewa antibiotics nyingine amplicox na mucolyn lakini bado, leo Kapimwa kifua Dr kasema hana shida yeyote ila kabadilishiwa dawa Kapewa Co trimoxazole bado hakuna badiliko licha ya kuanza kutumia. Sasa sijui shida ni nini.
Angalia pia na kilimi chake km kimerefuka sana
Good advice !! Kumuona daktari wa watoto !! Some times inaweza kuwa tatizo lake linasababishwa na Allergic reaction/Mzio ambao chanzo chake kinaweza kusababishwa na sababu mbalimbali !!