Msaada mtoto anakohoa sana

Msaada mtoto anakohoa sana

hyo inaweza kua kilimi hata kijana wangu hali hyo ilimtokea na mwsho wa siku ikawa kilimi. ..jaribu kucheki hyoo
Okay ntaangalia nalo hilo, maana bora niumwe mimi ila sio mtoto
 
Mpeleke hospital specialist wa watoto ,wengi naona wanamuongelea doctor Kimaro sijui kwa Dar..maana mtoto anavyotesa utajikuta unanunua kila dawa unayockia nzuri utajikuta humponyeshi..

Good advice !! Kumuona daktari wa watoto !! Some times inaweza kuwa tatizo lake linasababishwa na Allergic reaction/Mzio ambao chanzo chake kinaweza kusababishwa na sababu mbalimbali !!
 
Mtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakooa leo ni siku ya nane na ni kikoozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya pneumonia lakini hakuna mabadiliko, akaongezewa antibiotics nyingine amplicox na mucolyn lakini bado, leo Kapimwa kifua Dr kasema hana shida yeyote ila kabadilishiwa dawa Kapewa Co trimoxazole bado hakuna badiliko licha ya kuanza kutumia. Sasa sijui shida ni nini.
Kwa maelezo hayo tu, hyo MTT kapungukiwa na dam, na mm Wa kwangu alinisumbua hvyo, nlitaka kumaliza dawa hospital... MTU mmoja akaniambie, dawa rahis sana, tembele unazi grand unachanganya na viazi na ndizi.. Unaweza kuweka na maziwa na karoti..

Kumbuka tembele halipikwi kwa pamoja unaliweka mwisho..

Hajakohoa mpaka Leo....
 
Mtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakooa leo ni siku ya nane na ni kikoozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya pneumonia lakini hakuna mabadiliko, akaongezewa antibiotics nyingine amplicox na mucolyn lakini bado, leo Kapimwa kifua Dr kasema hana shida yeyote ila kabadilishiwa dawa Kapewa Co trimoxazole bado hakuna badiliko licha ya kuanza kutumia. Sasa sijui shida ni nini.
Hicho kifua ni allergy kama mtoto ameshachoma sindano xpen na amekunywa antibiotic basi hana bacteria infection.
sasa nakushauri utumie matibabu ya nyumbani.

1.chukua kiini cha yai la kienyeji na asali mbichi changanya mpe mara 3 kwa siku.
2.chemsha chai ya tangawizi na weka maji ya limao na asali mpe.
3.Changanya abdalasini iliyosangwa na limao mpe
4.Binzari changanya na maziwa fresh ya vuguvugu mpe asubuhi na jioni.
zitamsaidia lakini kama anapata homa mpeleke hospital.
 
KuJua kwamba kilimi kirefu ni shida, ntaulizia wataalam wa kuona hicho
Angekuwa na kilimi(kimeo)hizo dawa alizotumia angepona maana wakati mwengine kilimi hupana maambukizi ya bakteria na huvimba lkn kinatibiwa na antibiotic.
 
Mtoto wa mwaka Mmoja na nusu anakooa leo ni siku ya nane na ni kikoozi kikavu. Alipewa antibiotic fulani ya kifua siku ya kwanza iligoma, basi akachomwa sindano nne za cristapen kwa ajili ya pneumonia lakini hakuna mabadiliko, akaongezewa antibiotics nyingine amplicox na mucolyn lakini bado, leo Kapimwa kifua Dr kasema hana shida yeyote ila kabadilishiwa dawa Kapewa Co trimoxazole bado hakuna badiliko licha ya kuanza kutumia. Sasa sijui shida ni nini.
Kifua kikavu (dry cough)kwa mtoto husababishwa na baridi au aleji (cold or allergies) na kama hana( fever )homa unatakiwa kumpa vitu vya maji maji sn kama juice ambazo hazina sukar au maji

Dawa unaweza mpa za watot lkn
1)calpol
2)benylin
3)tixlix
Inaweza kukusidi.
 
Mcheki kimeo, mwanagu alipata shida kama ua mwanao kumbe tatizo lilikuwa kimeo baada ya kukikata hajawahi kuumwa tena
 
Asanteni kwa mawazo, ushauri ntayafanyia kazi. Mtoto anakooa sana.
 
Good advice !! Kumuona daktari wa watoto !! Some times inaweza kuwa tatizo lake linasababishwa na Allergic reaction/Mzio ambao chanzo chake kinaweza kusababishwa na sababu mbalimbali !!

Yeah very sure..
 
Back
Top Bottom