Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Vp kuhusu maziwa ya kopo nielekeze kidogoUshauri ni mama ale sana,.ale vyakula vya kumpa nguvu na kuongeza maziwa na kufanya maziwa kua mazito ili mtoto ashibe.
Atumie mbegu za maboga,yanasaidia kutoa maziwa lakini pia mkiosha mchele yale maji yake aoshe achemshe aeke chumvi kidogo awe anakunywa kama chai inasaidia kufanya maziwa kua mazito.
Lakini zaidi ya yote kuna maziwa ya kopo nayo ni mazuri pia,anaweza akawa anachanganya,itasaidia mtoto asiwe na njaa.
hayafai, mtoto chin ya mwaka mmoha haruhusiwi kupewa hayo maziwa mmama ale ashibe asinyonyeshe kwa stressVp kuhusu maziwa ya ngombe au hayafai pia
Lactogen 24000/= na halimalizi wikiAsante. Vp kuhusu maziwa ya kopo nielekeze kidogo
Huku JF unaweza kuambiwa umlishe makande, fuata ushauri wa wataalamu wa afya
Mkuu ushapata experience? Uliolewa not long ago, watoto wangapi tayari?hayafai, mtoto chin ya mwaka mmoha haruhusiwi kupewa hayo maziwa mmama ale ashibe asinyonyeshe kwa stress
AsanteKama maziwa ya mama hayatoshi na pia anakula vizuri, basi mnaweza kutumia maziwa mbadala mf. Lacogen 1 Ya (0-miezi 6) ili afya na kinga ya mtoto isidhoofu kwa kukosa chakula cha kutosha, hali hii inawatokeaga pia waliozaa mapacha au baadhi ya wanawake kushindwa kutoa maziwa ya kutosha kwa mtoto baada ya kujifungua, jamii zetu hazina elimu ya kutosha kuhusu mambo ya uzazi, sometimes hata baadhi ya hospitali hazitoi elimu kwa ukubwa zaidi na hupelekea kuwepo kwa zana nyingi potofu mitaani
Mbona kama miezi mitatu ni mapema sana mtoto kuanza kula vitu zaidi ya maziwa ya mamake.Ushaanza kumwonea wivu! Mpeni uji mwepesi chuja maji yake mara Tatu then pika
KiongoziHabar
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi, ukimtoa analia.
Na clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6
Nini naweza kufanya kumsaidia mtoto na mamake?
Waulize manesi haohao kama kweli watoto wao wanatimiza miez 6 ndo wanaanza kulaMbona kama miezi mitatu ni mapema sana mtoto kuanza kula vitu zaidi ya maziwa ya mamake.
Wivu gani tena jamani?Ushaanza kumwonea wivu! Mpeni uji mwepesi chuja maji yake mara Tatu then pika