MTOTO NI WA UMRI GANI ??? AMEZALIWA KAWAIDA ? MAANA YANGU AMETIMIZA MIEZI TISA ? KWA WANAOZALIWA KABLA HIYO NI KAWAIDA , lAKINI UNATAKIWA KUWA MAKINI KWANI HALI HIYO HUWAUMIZA SANA NA ANWEZA HATA AKAPOTEZA MAISHA, JITAHIDI KUWA MAKINI NAE

kweli sister niliambiwa halii hii inapelekea kifo mtoto akipaliwa na mate anashindwa kupumua vzur duuuu naogopa
Habarini humu ndani heshima kwenu.
Niko na mtoto ana miezi 7, mara nyingi huwa anapaliwa mate akiwa usingizini na hali hii nimeigundua siku tatu zilizopita. Sijajua hii hali inasababishwa na nini.
Je inaweza leta madhara yoyote?
Na je inasababishwa na nini?
Vipi jinsi ya kuepukana na hii hali.
Naombeni kujuzwa katika hili wapendwa ili niwe aware na nini natakiwa kufanya.
Wenu mpendwa katika bwana na mungu awabariki
janeti1, Ni kweli kwamba wapo waliopoteza watoto kwa kutokua makini ktk hali hizo, Samahani kama nitakua nimetishia ila maana yangu ni hiyo, awe makini ili yasitokee hayommh maneno yako makali kweli we sio daktari duh utaua mgonjwa kwa pressure.