MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,065
Habarini humu ndani heshima kwenu.
Niko na mtoto ana miezi 7, mara nyingi huwa anapaliwa mate akiwa usingizini na hali hii nimeigundua siku tatu zilizopita. Sijajua hii hali inasababishwa na nini.
Je inaweza leta madhara yoyote?
Na je inasababishwa na nini?
Vipi jinsi ya kuepukana na hii hali.
Naombeni kujuzwa katika hili wapendwa ili niwe aware na nini natakiwa kufanya.
Wenu mpendwa katika bwana na mungu awabariki