Msaada, mtoto anapaliwa na mate nini tatizo?

MankaM

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
9,448
Reaction score
3,065
Habarini humu ndani heshima kwenu.

Niko na mtoto ana miezi 7, mara nyingi huwa anapaliwa mate akiwa usingizini na hali hii nimeigundua siku tatu zilizopita. Sijajua hii hali inasababishwa na nini.

Je inaweza leta madhara yoyote?

Na je inasababishwa na nini?

Vipi jinsi ya kuepukana na hii hali.

Naombeni kujuzwa katika hili wapendwa ili niwe aware na nini natakiwa kufanya.

Wenu mpendwa katika bwana na mungu awabariki
 
pole mamito jamani usisahau kuomba ulinzi wa MUNGU unapomlaza mtoto wakat wowote. Ngoja watalam waje wakushauri mamii..
 
asante mamiii huwa nafanya hivyo kila siku
 
ukimya wenu unaniogopesha jaman MziziMkavu na madokta wengine njooo huku jama daaaa
 
Mim sio daktar so sina ufahamu sana wa hili.ila nakukumbusha usipendelee kumlaza kwa mgongo ..kama hua unafanya hivyo huenda inachangia.
 
MTOTO NI WA UMRI GANI ??? AMEZALIWA KAWAIDA ? MAANA YANGU AMETIMIZA MIEZI TISA ? KWA WANAOZALIWA KABLA HIYO NI KAWAIDA , lAKINI UNATAKIWA KUWA MAKINI KWANI HALI HIYO HUWAUMIZA SANA NA ANWEZA HATA AKAPOTEZA MAISHA, JITAHIDI KUWA MAKINI NAE
 
sawa nashukuru kwa ushauri ndugu
 
MTOTO NI WA UMRI GANI ??? AMEZALIWA KAWAIDA ? MAANA YANGU AMETIMIZA MIEZI TISA ? KWA WANAOZALIWA KABLA HIYO NI KAWAIDA , lAKINI UNATAKIWA KUWA MAKINI KWANI HALI HIYO HUWAUMIZA SANA NA ANWEZA HATA AKAPOTEZA MAISHA, JITAHIDI KUWA MAKINI NAE

amezaliwa kawaida ndugu ana miezi 7, nashukuru kwa ushauri
 
MTOTO NI WA UMRI GANI ??? AMEZALIWA KAWAIDA ? MAANA YANGU AMETIMIZA MIEZI TISA ? KWA WANAOZALIWA KABLA HIYO NI KAWAIDA , lAKINI UNATAKIWA KUWA MAKINI KWANI HALI HIYO HUWAUMIZA SANA NA ANWEZA HATA AKAPOTEZA MAISHA, JITAHIDI KUWA MAKINI NAE

mmh maneno yako makali kweli we sio daktari duh utaua mgonjwa kwa pressure.
 
kweli sister niliambiwa halii hii inapelekea kifo mtoto akipaliwa na mate anashindwa kupumua vzur duuuu naogopa
 
usiogope mpenzi chamsingi fuata ushaur mlaze mtoto vzuri, pia ikiwezekana nenda hosptal kapate ushaur. MUNGU amlinde usiwe na hofu.
 
amen usiku mwema
 
Habarini humu ndani heshima kwenu.

Niko na mtoto ana miezi 7, mara nyingi huwa anapaliwa mate akiwa usingizini na hali hii nimeigundua siku tatu zilizopita. Sijajua hii hali inasababishwa na nini.

Je inaweza leta madhara yoyote?

Na je inasababishwa na nini?

Vipi jinsi ya kuepukana na hii hali.

Naombeni kujuzwa katika hili wapendwa ili niwe aware na nini natakiwa kufanya.

Wenu mpendwa katika bwana na mungu awabariki

akila hua anapiliwa au ni hiyo ya mate tu usiku?...

na je hua anasumbuliwa na matatizi ya pneumonia?
 
mmh maneno yako makali kweli we sio daktari duh utaua mgonjwa kwa pressure.
janeti1, Ni kweli kwamba wapo waliopoteza watoto kwa kutokua makini ktk hali hizo, Samahani kama nitakua nimetishia ila maana yangu ni hiyo, awe makini ili yasitokee hayo
 
Last edited by a moderator:
Asante kushukuru ila usiwe na hofu , Tu Uwe makini kumpatia msaada wa huduma ya kwanza kila inapomtokea hali hiyo na jitahidi awe anakula au kunyonya akiwa amekaa na sio mkao wa ulalo
 
asante ndugu
 
Back
Top Bottom