Unataka amchape? 14 months!!!
kitakuwa kimerithi kama sio kwa baba yake au mama yake
Kwa nini una quote kitu ambacho hujaelewa? TuliaUnataka amchape? 14 months!!!
Asimdekeze kiaje sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chapa fimbo swalehe alkua na huo ujinga anakojoa kwenye sink
nlichapa sana hadi akaanza kujitetea eti ooh baba naaga Dunia [emoji23]
kutoogopa mavi yake mwenyewe?
Mkemee na kuwa mkali sana.Hello wanajamvi
Naomba ushauri kwenye hili: Nipo kwenye malezi ya mtoto wa miezi 14, kwa bahati mbaya huyu mtoto amekuwa akitumia diapers (pampers) tangu kuzaliwa kwake hadi hivi sasa.
Kwa muda wote huo amekuwa akijisaidia kwenye hizo diapers. Muda ulipofika wa kumfundisha kutumia pot au kukaa miguuni hataki kabisa, tena hata ile haja ya kutaka kujiasaidia huwa inakatika. Ukimuacha na nguo za kawaida, akijinyea analia na anaogopa sana mavi yake.
Je ni kweli its too late? Tufanyeje aweze kuzoea potty na kutoogopa mavi yake mwenyewe? Maoni please
Nawakilisha
matoto mengine yanatunzwaaaa du moaka rahani mazoea tu mbadilishieni pampers avae wakat wa kulala tu na safari
mama ahakiishe mtoto akiamka tu asubh unapanga either kwenye miguu au kwenye pot akshiba tu apangwe asiwe mvivu itasaidia kidogo
wangu yuko na six months lakini akishikwa na haja anahangaika mpaka nimpange akijisaidia tu anakua sawa na nilianza hivo tangu yuko na three months